Wamiliki wa Magari Adimu (brand tofauti na TOYOTA, Magari yenye changamoto ya upatikanaji wa Spare Parts) Tukutane Hapa

Umeongea kwa weledi Sana mkuu, mkuu nataka niingie kwenye Suzuki escudo vp spea zake babu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni utofauti wa IST 1290 CC NA 1490 CC
MAANA KUNA MWANA KANAMBIA ETI ZENYE 1290 ZINA SHIDA....ILA HAELEZI NI SHIDA GANI!
.....Wenye maujuzi na haya magari anisaidie maana nataka kuvuta yenye cc 1290

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilkuwa na ki gar knaitwa opel,kwa kwel nilipitia vikwanzo ving sana nika vumilia ila mwsho lkanitoa kabsa n hivi ,servce nlkuwa nafanya vzur tu sku nikajchnganya mafund wa vchochoron nikampa filter vizuri tu wakat anafungua kbuyu pakuwekea filter akatumia nguvu akavunja,

Msala ukaja hakuna kinapopatikan kwa mazingira nlyokuwepo ikabd aforce aniwekee filter ya toyota namba 2 ....kla sku kna soma alarm ya oil nikimuambia anasema ipo saf hyoo nikikanyaga inapotea. haikunichukua week biashara ikawa imefika tamati R.I.P opel !! Mwaka jana akaja m2 akakitaka kikiwa apo apo.

Gerage kaniambia ananipa lak8 nikamwambia ww kaijuchukue tu ukiipata laki 8 tuma mpesa , hadi leo ajatuma sijui anaendeleaje nako hukoo ....maisha ya mjeruman n matter of time na pesa lakin kufa hakuzuilki kwa mazingira ya kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kusikia kuwa gari za msouth hasa hasa Benz huwa haziingiliani spare parts na Benz tunazoagiza Japan, Je kuna ukweli wowote hapa?

Jamaa aliniambia unaweza kukuta Benz ni same model kabisa, lakini wewe uliyetoa South unaweza kuhaha kutafuta spare wakati mwenzio aliyeagiza Japana anadunda tu.

Mwenye uzoefu tafadhali kabla hatujajivalisha mabomu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa nimemkubali sana, nilikuwa natafuta spare ya nissan bluebird hapa dar naambiwa 360,000 ila nilipomcheki yeye kaniagizia nje nadhani nairobi kwa 140,000 ndani ya siku mbili mzigo nikaupata na sasa nadunda mtaani.
Okey

Au mnasemaje mods
 
Natafuta sehemu wanaojaza mafuta shockobsober ya Nissan tiida wakuu,genuine shock up bei yake imesismama pair 600+ hizi ni front shock up tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua shockup babu! Nyie sindio wafia Nissan. Kuchwa kuponda watu wa Toyota.Sie pair ya shockup hazizidi laki bee (2) na hizo ni japan quality!
 
Natafuta sehemu wanaojaza mafuta shockobsober ya Nissan tiida wakuu,genuine shock up bei yake imesismama pair 600+ hizi ni front shock up tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua shockup babu! Nyie sindio wafia Nissan. Kuchwa kuponda watu wa Toyota.Sie pair ya shockup hazizidi laki bee (2) na hizo ni japan quality!
 
Haa haaa haa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nimecheka kinoma japo inaumaaaa[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…