malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 256
- 345
Habari zenu wadau,
Naomba tujuzane kidogo mbinu mnazotumia kuendesha hii biashara. Kwa muda kidogo nimepata changamoto za uendeshaji wa hii biashara nikiwa kama mmiliki wa chombo(gari), kutokana na changamoto na sababu za dereva kila kukicha nkaona ngoja niangalie kama kweli biashara ngumu.
Juzi Jumamosi nkajitoa nijaribu kwa akaunti yake dereva, ajabu nlifanikiwa kupata hesabu ya Tsh 92,000 kwa mafuta ya Tsh 30,000. Na leo Jumapili nimepata Tsh 78,000 kwa mafuta ya 20,000.
Swali langu mbona mimi nimeweza kupata kwa hesabu kwa siku mbili tu maaana hesabu nlimpa 150,000 kwa week sasa yeye anashindwaje kuipata ndani ya week?
Karibuni tupeane mbinu.