Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Hasara kwao bughudha kwa raia wengine ambao ndio wengi,kipindi cha magu ICD walikua wanaanzisha vikindu hadi mkuranga,nakumbuka kuna jamaa yangu ana eneo vikindu,kuna kampuni ilishaanza process za kukodi au kununua lile eneo,ghafla jamaa alipofariki ICD zote za nje ya dar zikafaMzee Watu kila wiki wanaanzisha ICD mpya. Watu wanataka kukimbizana na muda container ziingie na zitoke faster hiyo distance ya kwala kwa trucks itakuwa hasara
Pale mchicha kulikua na shortcut 1 nzuri mno ya kukwepa foleni ya tazara mpaka vetenari,ghafla imeanzishwa ICD kule mchicha sasa hivi akupitiki,kama serikali imeamua kuondoa msongomano ndani ya mji,basi waondoe ICD ndani ya mjiMzee Watu kila wiki wanaanzisha ICD mpya. Watu wanataka kukimbizana na muda container ziingie na zitoke faster hiyo distance ya kwala kwa trucks itakuwa hasara
Dr ulimboka walimfanyaje na yupo wapi kwa sasa?Wasije wakamfanyia ya Dr Ulimboka
Mkuu kwa sasa sijui yuko wapi Dr Ulimboka alitekwa kwenye sekeseke la mgomo wa madaktari sasa wasiojulikana wakapita naye kama kipanga wakampeleka msitu wa mabwepande wakamfanyia wanayojua wao aliokototwa kaumuka kama ngano iliyotiwa hamira na mgomo ukaishia pale sikuona hata madaktari wenzie wakiendeleza mgomoDr ulimboka walimfanyaje na yupo wapi kwa sasa?
Kipande cha Mwanambaya wengi waliplan kuweka ICD ila saizi wanaziweka town bora kuwahamisha raia.Hasara kwao bughudha kwa raia wengine ambao ndio wengi,kipindi cha magu ICD walikua wanaanzisha vikindu hadi mkuranga,nakumbuka kuna jamaa yangu ana eneo vikindu,kuna kampuni ilishaanza process za kukodi au kununua lile eneo,ghafla jamaa alipofariki ICD zote za nje ya dar zikafa
Nani wa kuzipeleka idc kwalaHii nchi watu wanabembelezwa sana,yan inaposimamiwa sheria malalamiko kila kona,tena hao wa malori inabidi wasiguse kabisa dar,waishie huko kwala
SULUHISHO ICD ZOTE ZA TRANSIT GOODS ZIENDE KWALAWafuate sheria hakuna namna
Kwala kumepoa balaa watu wengi bado wana angalia plan sio uhalisia. Container za Local wafanyabiashara wanapenda zikae town ili wazitoe faster na cost za usafirishaji zinakuwa chini.Nani wa kuzipeleka idc kwala
π naona jangwani depot ya mwendokasi ishakuwa icd,mnaweza kumtoa huyo
π
Ova
Kwala si kwa ajili ya mizigo ya transit kongo,rwanda,Uganda,Burundi,malawiKwala kumepoa balaa watu wengi bado wana angalia plan sio uhalisia. Container za Local wafanyabiashara wanapenda zikae town ili wazitoe faster na cost za usafirishaji zinakuwa chini.