Wamiliki wa Mazda demio club tubadilishane uzoefu

Wamiliki wa Mazda demio club tubadilishane uzoefu

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
Members wamiliki, watumiaji, watarajiwa kwa hizi gari aina ya MAZDA Demio

Tukutane hapa kubadilishana uzoefu, changamoto , Uboreshaji, mafundi na garage nzuri , namna ya upatikanaji wa spares

Tafadhali mnakaribishwa woote, mm mmojawapo ya wamiliki naomba kujua mafundi wazoefu wa hizi gari walipo kwa Dar ?

members mnakaribishwa kutoa michango ya mawazo, experience
 
Mimi ninazo 3 sijona tatizo kubwa mbali na Airflow sensor kusafisha na service tu japo sio muda mrefu(miezi 3 sasa) ningependa kujua zaidi zinasumbua nini hasa ? ?
 
Ntampata wapi fundi mzuri wa MAZDA DEMIO gari yangu inazimika zimika lakini l
kila ikizima ukiwasha inawaka na kuendelea na safari
 
Ntampata wapi fundi mzuri wa MAZDA DEMIO gari yangu inazimika zimika lakini l
kila ikizima ukiwasha inawaka na kuendelea na safari
We aliekutuma ununue hiko ki lunchbox ni nani. Angalieni brand za kununua bhana,,,watu wanaminyana kununua ma Toyota mnawaita washamba ila kwa wastani Toyota ndio gari pekee inayoongoza kubaki barabarani muda mrefu zaidi kuliko kwenda garage!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom