Wamiliki wa Mazda demio club tubadilishane uzoefu

We aliekutuma ununue hiko ki lunchbox ni nani. Angalieni brand za kununua bhana,,,watu wanaminyana kununua ma Toyota mnawaita washamba ila kwa wastani Toyota ndio gari pekee inayoongoza kubaki barabarani muda mrefu zaidi kuliko kwenda garage!
Acha kuwa conservative.....hakuna gari bovu duniani ukiwa na hela na nidhamu ya kulifanyia service..
Toyota kwa tanzania wanachotamba nacho ni spea feki zq mafungu kama nyanya..

Ingekuwa Toyota ndiyo gari bora zaidi wtu kama wachina ambao kiteknolojia na elimu na uchumi wamtuzidi wangezitumia...The leading brand in China is Nissan..

Nchi kama marekani gari za Jqpani zinazoongoza ni Nissan, Subaru na Mazda..

Watanzania mmekariri Toyota...kilq mtu ana toyota sare sare kama sketi za shule..

kaka mwenye mazda kwqnza hongera kwa kuwa tofauti...la msingi tafuta fundi mzuri anayejielewa...
narudia tena hakuna gari mbovu kama una hela na unanidhamu ya service...nina nissqn mwaka wa nne huu nimewahi kubadili spark plugs tu kwenye engine...kingine nilichobadili ni bushes kutokana na ubovu wa barabara zetu.
 
Ahaa kwahio Toyota wao hawana spare original sio?
 
spea original za toyota zipo sana tu....ila kwa wabongo wanavyopenda ganda la ndizi hawanunui original wanaweka feki miezi mitatu au sita anaweka tena..
hujawahi kusikia watu wakilalama spea za nissan ni ghali? jibu lake nibkwa sababu ni og......hata spea og za toyota ni ghali tena nyingine kuzidi hizo za nissan....lakini mchina alivyojua wabongo wanapenda rahisi kajaza maspea feki ya toyota...basi hapo wabongo wanacheeeeeka utasikia gari ni toyota maana spea zipo na ni rahisi..

ila kumbuka rahisi ni ghali
 
Basi huna haja ya kuwabeza Toyota maana ni maamuzi ya mteja kununua spear OG ama feki mkuu.
 
Asante mkuu ila nilikuwa najaribu kutoa changamoto watu tubadili mtazamo kwqmba siku hizi kama una hela zqko kuna magari mengi tu tofauti na toyota na yanafanya vizuri...yaani tuache kukariri kwamba gari ni toyota kama vile wengi wetu walivyokariri kuwa mwanamke mzuri ni mwenye makalio makubwa
 
Obrigado mkuu, mtoto mzuri lazma awe na mzigo sio ha ha ha.
 
Back
Top Bottom