SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
Falier ni nini mkuu?Hizo gari ni Falier Wakuu
Poleni saaana
Falier ni nini mkuu?
Hapana ni failure mkuu.Falier ni kitu ambacho kimefeli
Hapana ni failure mkuu.
Nothing is perfect mkuu. Mechanical errors zipo almost gari zoteHahahahahahaaa....kuna kitu kinaitwa mechanical error....Dimio ni mojawapo, msijisikie vibaya, zipo nyingi. Hata Nadia, mitsubishi..kitchen party
Mi mgeni hapa[emoji1321]
Unatafuta kujuta. Tuliwahi kua nacho miaka ya 2008 ila tulikuja kumuuzia mtu ambaye naye kilimfia gia box muda mchache baadaye. Pia hata hakikimbii kiivyo. Ukienda 120 injini inalalamika hiyooo!Soon naingia huku Mazda demio
Mkuu unaweza kufafanua kivipi? Hasa MitsubishiHahahahahahaaa....kuna kitu kinaitwa mechanical error....Dimio ni mojawapo, msijisikie vibaya, zipo nyingi. Hata Nadia, mitsubishi..kitchen party
Ulimaanisha failure? [emoji849][emoji849]Hizo gari ni Falier Wakuu
Poleni saaana
We aliekutuma ununue hiko ki lunchbox ni nani. Angalieni brand za kununua bhana,,,watu wanaminyana kununua ma Toyota mnawaita washamba ila kwa wastani Toyota ndio gari pekee inayoongoza kubaki barabarani muda mrefu zaidi kuliko kwenda garage!Ntampata wapi fundi mzuri wa MAZDA DEMIO gari yangu inazimika zimika lakini l
kila ikizima ukiwasha inawaka na kuendelea na safari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We aliekutuma ununue hiko ki lunchbox ni nani. Angalieni brand za kununua bhana,,,watu wanaminyana kununua ma Toyota mnawaita washamba ila kwa wastani Toyota ndio gari pekee inayoongoza kubaki barabarani muda mrefu zaidi kuliko kwenda garage!