Wamiliki wa Mitsubish Pajero IO, GDI Tukutane Hapa

Kila la kheri mkuu na safari. Kama huta-mind naomba utupie kapicha ka hiyo -complete fuel system cleaner ambayo umeshaitumia na kufanya kazi, lakini ukitaja duka ambako inapatikana kwa Dar utakuwa umetusaidia sana.
Mrejesho wa bei,huko ulikoenda kuangalia spear?
 
Sjaenda kuangalia spea nimeenda kwa matembezi. Na mbona nilirudi siku hiyo hiyo. Gari iko order
 
Ahsante sana mkuu imeanza huo mchezo nikiwa safari niko niko full tank je naweza weka hiyo dawa gari ikiwa full tank?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…