Wenzetu Kenya wanaongeza madarasa kwa shule za msingi, sisi TZ tunapunguza, kuna tarifa baadhi ya watoto wanaoenda form one hawajui kusoma, SASA SIJUI KAMA TUNAJENGA AU TUNABOMOAKwa uelewa wangu nafikiri nia ya serikali ni kumpa ELIMU Bora mwanafunzi wa kitanzania ili aweze kuwa na upeo Mpana kwa kitu atakachochagua kukisoma ili kiwe ni msaada tosha kwa maisha yake bila kusubili asome ili asubili apewe ajira,darasa la saba kutokuwepo binafsi naona ni sawa tu kwani halina umuhimu kama mada zake ni marudio ya darasa la sita na kushuka