Wamiliki wa shule ya sekondari binafsi nchini, wana wasiwasi kuhusu mabadiliko ya mfumo wa elimu, hasa kutokana na kufutwa kwa darasa saba mwaka 2027

Wenzetu Kenya wanaongeza madarasa kwa shule za msingi, sisi TZ tunapunguza, kuna tarifa baadhi ya watoto wanaoenda form one hawajui kusoma, SASA SIJUI KAMA TUNAJENGA AU TUNABOMOA
 
Wenzetu Kenya wanaongeza madarasa kwa shule za msingi, sisi TZ tunapunguza, kuna tarifa baadhi ya watoto wanaoenda form one hawajui kusoma, SASA SIJUI KAMA TUNAJENGA AU TUNABOMOA
Ukifika la5 hujui soma na kuandika... Acha shule. La6 na la7 won't make a difference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…