B Big Eagle JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 592 Reaction score 625 Dec 29, 2020 #1 Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali. Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo kulingana na urefu wa kamba zetu
Mnafundisha watoto kuwa Dunia sasa kama kijiji wakati nyinyi mnaifanya Dunia kuwa kama poli lenye wanyama wakali. Wekeni ada kwenye website zenu hii itaturahisishia wazazi kufanya machaguo kulingana na urefu wa kamba zetu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 29, 2020 #2 Wazo zuri... Hiyo itarahisisha pia TRA kuwachungulia vizuri... Cc: mahondaw
JAMBONIA LTD JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 584 Reaction score 274 Dec 30, 2020 #3 Vyuo vya pripate huwa wanafanya ,huwa wanaweka fee structure. Shule ni baadhi wanaweka ila wengine hawaweki
Vyuo vya pripate huwa wanafanya ,huwa wanaweka fee structure. Shule ni baadhi wanaweka ila wengine hawaweki