Wamiliki wa vibanda vya kuonesha mpira wa miguu jijini Dar waitwa TFF

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limewaita watu wote wanaoonesha mpira katika 'vibanda' Jijini Dar kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano

TFF imesema imewaita watu hao katika kikao kitakachofanyika kesho Agosti 27, katika ofisi za shirikisho zilizopo Karume katika Manispaa ya Ilala

A96C94D0-2C30-4DDC-AAD9-58093A2914DF.jpeg
 
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limewaita watu wote wanaoonesha mpira katika 'vibanda' Jijini Dar kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano

TFF imesema imewaita watu hao katika kikao kitakachofanyika kesho Agosti 27, katika ofisi za shirikisho zilizopo Karume katika Manispaa ya Ilala

View attachment 1190234
Kuna dalili ya kuanzishwa leseni ya vibanda
 
Hahahaha..

Kama ni kujadili namna ya kushare mauzo ya gemu za ligi ya bongo...

Nashauri, wamiliki wa bar wasiachwe kwenye huu mjadala ili kuleta uwiano..
 
Hapa wanataka kujipa mamlaka ya kukusanya tozo kwa hivyo vibanda.
 
Back
Top Bottom