Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Hakuwa chotara. Cleopatra alikiwa mgiriki pure. Walipenda kuoana wenyewe kwa wenyewe wakati mwingine kaka na dada
Una uhakika gani alikuwa mgiriki pure? Mama yake hajulikani. Na pi kama walipenda kuoana wenyewe kwa wenyewe ikawaje akaolewa na Kaizari na baadaye Mark Anthony?
 
Una uhakika gani alikuwa mgiriki pure? Mama yake hajulikani. Na pi kama walipenda kuoana wenyewe kwa wenyewe ikawaje akaolewa na Kaizari na baadaye Mark Anthony?
Ceaser alimkuta akiwa mke wa kaka yake ambaye walishirikiana kuitawala Misri. Mama na baba yake wanajulikana.
 
Ceaser alimkuta akiwa mke wa kaka yake ambaye walishirikiana kuitawala Misri. Mama na baba yake wanajulikana.
Mama wa Cleopatra hajulikani. Sawa, kama pia aliweza kuolewa na Kaizari na Mark Anthony inamaanisha walikuwa wakiolewa nje ya familia.
 
Mama wa Cleopatra hajulikani. Sawa, kama pia aliweza kuolewa na Kaizari na Mark Anthony inamaanisha walikuwa wakiolewa nje ya familia.
Ngoja nikujibu mara ya mwisho. Aliolewa na Ceaser na Mark baada ya kushindwa vita. Haikuwa hiari yake. Ndoa yake ya kwanza ilikuwa kaolewa na kaka yake. Mama yake anajulikana jishughulishe utajua.

Kama walifikia kuoana kaka na dada it means hata wazazi wao walikuwa ndugu waliooana na hiyo inamaanisha walikuwa Wagiriki pia
 
Wamisri wenyewe ni Coptic na walikuwa na lugha yao ambao ilipotea na kufa baada ya conquest y Waarabu/Waislamu ila haimaniishi natives walikuwa weusi bali Egyptians hao hao na genome zao zikistadiwa na hao pharaohs zinaonekena kufanana kwa asilimia kubwa. Libya, Tunisia, Algeria, Morocco hao ni Amazigh/ Berber ambao pia walikuwa conquered na Waarabu na Waislamu. Cleopatra alikuwa Mgiriki Macedonian Greek and not mtu mweusi. Iyo obsession ya Egypt kwa African Americans is because it's so popular among Westerners when they dismiss many actual black civilizations including Ethiopia, Kush present day Sudan which have many pyramids than Egypt, Songhai Empire, Ashanti Empire,Ghana empire, Benin empire, Swahili city states, Kongo, Zulu etc but wao Egypt Egypt Egypt kwa kweli wanaboa. But kw 25th dynasty ya historia ya utawala wa Misri Ndo watu weusi waliitawala ambao walikuwa wanatokea Nubia present day Sudan and pia southern Egypt leo wapo
Kizazi cha watu weusi wa Misri kilipotea vipi

Na je waarabu nchini Misri sio asili yao?

Naomba utuelimishe


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hakuolewa baada ya kushindwa vita. Huyo kaka yake aliyemuoa alikuwa mtawala mwenza. Baada ya kutofautiana Cleopatra akafurumushiwa Syria. Baadaye Kaizari akawa anaenda Misri na jeshi kumfuatilia muasi. Cleopatra naye akaona chansi ya kurudi Misri. Walipokutana Misri ndiyo wakaanza kulana. Cleopatra hajawahi pigana na Kaizari.

Mama yake hajulikani, kama unamjua mtaje. Pia baba yake hakuzaa na mwanamke mmoja.
 
Kinacho wachukiza ni kipi hao mapunguani?
Kwani wanavyokasirika Cleopatra kuwa mweusi ndiyo atabadilika na kuwa Mwarabu?
Cleopatra alikua ni Mwafrika kwa kuzaliwa lakini wazazi wake walutokea Macedonia huko Ugiriki.
So, wasitake kujipendekeza wakati wagiriki wenyewe wala hawana noma hata ikisemwa kuwa Cleopatra alikua ni Mndengereko au Mnyakyusa.
 
Siyo kweli. Watu walioanzisha ustaarabu wa Misri walikuwa weusi ti. Baadaye ndiyo wakaja hao lightskin. African Americans wako sahihi kabisa kutetea kuibwa kwa historia ya mtu mweusi.
 
Endelea ku edit mkuu, tuendelee tu ku edit hadi dunia ichanganyikiwe ijione haijawahi kuwepo kabisa.
Na wale Waarabu walipotoka Ulaya kabla ya kufika Egypt waliisha sana pande za Masukulu na Matwebe kabla ya kuelekea Egypt.
History ni kama dini tu, itategemea na kitabu ulichoamua kukiamini
 
Egypt ya Sasa Haina waraabu..
Tunawaita waarabu Kwa sababu ya lugha ya kiarabu Tu...Wengi wametokea Macedonia na Greeks...
 
Egypt ya Sasa Haina waraabu..
Tunawaita waarabu Kwa sababu ya lugha ya kiarabu Tu...Wengi wametokea Macedonia na Greeks...
Nijuavyo mimi hata Egypt ya kale haikuwahi kuwa na waarabu, kinacho ifungamanisha Egypt na Uarabu ni utamaduni uliofuata miaka mingi baadaye vitu kama utamaduni na lugha mbavyo vililetwa na kuwa well sead na dini.
 
Nimeshtuka nikajua unamaanisha Cleopatra alikua mweusi. Hao warabu wa misr wanatafuta kiki tu, kwamba Cleopatra hakua mweusi wala mzungu
 
Hii ni series mbaya kuwahi kutokea netflix haina uhalisia hata kidogo
 
Hii ni series mbaya kuwahi kutokea netflix haina uhalisia hata kidogo
Mimi napenda biography ila hii Netflix dah wamezingua tena kuangalia mfano kwenye shows nyingi za adaptation wamebadilisha sana characters yan mpaka jinsia unachezea tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…