Wamorocco wanunua tiketi zote kwenye mechi dhidi ya Morocco na Nigeria AFCON

Wamorocco wanunua tiketi zote kwenye mechi dhidi ya Morocco na Nigeria AFCON

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya kwanza kwa Morocco kufanya hivyo, walifanya hivyo mwaka jana wakati wa fainali ya timu ya wanawake dhidi ya Nigeria, na bado Super Falcons walishinda. Kwa sasa Lawama zinaeelekezwa kwa mamlaka za soka nchini Morocco kwa kushindwa kutoa nafasi kwa timu pinzani ili ipate usawa wa kushuhudia timu yao , lakini bado mamlaka za Nigeria zinapambana kutafuta suluhu.

.
Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiu...jpg
Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiung.jpg
 
Nigeria wao wapige chini Kipa la Morocco haliendi lazima Morocco wakae
 
Hii game ya morocco na Nigeria wamekutana wote watoto wa mjini,leo hata refa ajipange...nigeria huwez kuwafanyi ule ujinga kama tuliofanyiwa sisi patachimbika
 
Hii game ya morocco na Nigeria wamekutana wote watoto wa mjini,leo hata refa ajipange...nigeria huwez kuwafanyi ule ujinga kama tuliofanyiwa sisi patachimbika
Ujinga wa msuva kukosa goli la wazi na kucheka au ujinga gani
 
Hii game ya morocco na Nigeria wamekutana wote watoto wa mjini,leo hata refa ajipange...nigeria huwez kuwafanyi ule ujinga kama tuliofanyiwa sisi patachimbika
Bado tu mnafikiriaga mmeonewa? Kama uliangalia game ya Morocco na nigeria Morocco wamenyimwa penati ya wazi kabisa lakini mpo kimyaaa, ngoja mwarabu afanye sasa 😄 acheni chuki bwanaa, mpira haupo hivyo

Ona hapa tulichomfanya, sijui kama hakuvunja kiuno, chezea Morocco weweee


View: https://www.instagram.com/reel/DTgoSJwjNBZ/?igsh=MWhqNnZ2cHA5Nm1ldA==


😄😄😄
 
Back
Top Bottom