Acha unafiki kama una uhakika peleka Takukuru,tatizo la Yanga ni kuona hana uwezo ws kuipita Simba kilichobaki ni majungu tu.kwanza tu-deal na mtoa rushwa 'kabambe' ( mo dewji) kabla ya kuwasambaratisha waamuzi, ma-linesman na makamisaa, yaani refa anawekewa 'mpunga mnene' mezani ili aipendelee simba wakati familia yake imelala njaa unadhani ataukataaa mpunga? kwanza tuung'oe mzizi ( mo dewji) na bahati mbaya sana TAKUKURU bado wameuchapa usingizi au wanajifanya 'hawaoni' yanayoendelea……………………… yaani mechi ya dak90 inachezwa dak120 adi tim pinzan ifungwe tena gali la offside ndiyo mechi inaishaa, alooooo hataree kweli kweli
1.Mechi ya Yanga dhidi ya Kmc. Yanga alikuwa anaongoza unakumbuka ziliongezwa dakika ngapi? na kmc walisawazisha goli kwenye dakika za nyongeza je unakumbuka kmc walipata goli dakika ya ngapi?Imekuwa nitabia kwa waamuzi kwenye mechi nyingi za Simba na Yanga wakiwa wamefungwa na mechi inaenda ukingoni wanakuwa wanaongeza dakika nyingi ikifika dk 90 na hili nimeona mechi ya Simba vs Polisi dk zimeongezwa 5.
Wala hakukuwa na ulazima wakuongea dk hizo na hili pia nimeona Baadhi ya mechi za Yanga lakini hizi team zikiwa zimepata magoal mengi before hata azijafika dk za majeruhi waamuzi utaona wanaongeza dk chache utakuta wanaongeza dk 1 au 2.
Kwa namna hii league yetu hatutaifanya iwe Bora.
Usiichanganye Yanga na hao wawekezaji wa kuhonga waamuzi! Simba wanatuharibia ligi yetu, kama vipi wapewe tu hizo pointi 100!Imekuwa nitabia kwa waamuzi kwenye mechi nyingi za Simba na Yanga wakiwa wamefungwa na mechi inaenda ukingoni wanakuwa wanaongeza dakika nyingi ikifika dk 90 na hili nimeona mechi ya Simba vs Polisi dk zimeongezwa 5.
Wala hakukuwa na ulazima wakuongea dk hizo na hili pia nimeona Baadhi ya mechi za Yanga lakini hizi team zikiwa zimepata magoal mengi before hata azijafika dk za majeruhi waamuzi utaona wanaongeza dk chache utakuta wanaongeza dk 1 au 2.
Kwa namna hii league yetu hatutaifanya iwe Bora.