Imekuwa nitabia kwa waamuzi kwenye mechi nyingi za Simba na Yanga wakiwa wamefungwa na mechi inaenda ukingoni wanakuwa wanaongeza dakika nyingi ikifika dk 90 na hili nimeona mechi ya Simba vs Polisi dk zimeongezwa 5.
Wala hakukuwa na ulazima wakuongea dk hizo na hili pia nimeona Baadhi ya mechi za Yanga lakini hizi team zikiwa zimepata magoal mengi before hata azijafika dk za majeruhi waamuzi utaona wanaongeza dk chache utakuta wanaongeza dk 1 au 2.
Kwa namna hii league yetu hatutaifanya iwe Bora.