chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kama wangekuwa au wana akaunti YouTube, wangekuwa na mamilioni ya viewers na wangekuwa wanajiandaa kuvuna mamia ya mamilioni.
Nadhani watu wameona kipaji cha muziki cha hali ya juu, ni wazi Watanzania na Waafrika wamechoshwa na nyimbo za ovyoovyo za wasanii wetu, wanataka vionjo vya Kiafrika.
Wanahitaji menejiment tu kabla ya kuanza kuhudhuria matamasha makubwa ya muziki ambayo yatawaingizia madolari ya kutosha.
Kudoz kwao.