Wamwiduka Band ni mgodi wa vipaji, wimbo wao wa NEMC umependwa Afrika nzima

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kama wangekuwa au wana akaunti YouTube, wangekuwa na mamilioni ya viewers na wangekuwa wanajiandaa kuvuna mamia ya mamilioni.

Nadhani watu wameona kipaji cha muziki cha hali ya juu, ni wazi Watanzania na Waafrika wamechoshwa na nyimbo za ovyoovyo za wasanii wetu, wanataka vionjo vya Kiafrika.

Wanahitaji menejiment tu kabla ya kuanza kuhudhuria matamasha makubwa ya muziki ambayo yatawaingizia madolari ya kutosha.

Kudoz kwao.

Your browser is not able to display this video.
 
Wasafwa tupo vizuri nyimbo za asili. Mwingine ni Awilo Kidume cha mbeya.
 
Wako vizuri sana ,,kuna ule wimbo hua naukubali kua unahonga 700,unakula 300??unahonga pakubwa unakula padogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…