Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
Akili za BIRIANI hiziWan Bissaka ni full back bora zaidi kwa sasa duniani, ukitaka kumtoa pale United andaa si chini ya £ 200M
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa unaujua mpira wa modern football wewe.Trent Alexa hawezi kuzuia.Kiufupi ni beki uchochoro.Ila Yuko vizuri kushambulia.Msimu huu magoli aliyofungwa Liva mengi yametokea kwake.Kwa hiyo Trent ni dhaifu kuzuia ni imara kushambulia
Bisaka yeye ni mzuri kuzuia na anakaba haswa.Kwa beki za pembeni kwa england huwezi kumtupa Tren na Bissaka.
Kiubora mi nachagua Bissaka kwa sababu ananipa vitu vingi kuliko Arnod.mfano power,tackling,header n.k.Lakin kwa Arnod utafaidi tu attacking football.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Trent Alexa hawezi kuzuia.Kiufupi ni beki uchochoro.Ila Yuko vizuri kushambulia.Msimu huu magoli aliyofungwa Liva mengi yametokea kwake.Kwa hiyo Trent ni dhaifu kuzuia ni imara kushambulia
Bisaka yeye ni mzuri kuzuia na anakaba haswa.Kwa beki za pembeni kwa england huwezi kumtupa Tren na Bissaka.
Kiubora mi nachagua Bissaka kwa sababu ananipa vitu vingi kuliko Arnod.mfano power,tackling,header n.k.Lakin kwa Arnod utafaidi tu attacking football.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trent ni mzuri wakati timu inashambulia.Lakin vipi kama timu inashambuliwa?Huwezi kuwa unaujua mpira wa modern football wewe.
Dunia nzima ya mpira wa kisasa inawatumia mabeki wa pembeni Kama wingers kwa krosi na assist na wingers wanatakiwa kuingia ndani. Game approach nyingi siku hizi ni kushambulia kwanza.
Kocha yeyote yule kwa Sasa duniani ukimuwekea Trent na Bisaka anachukua Trent mapema tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trent ni mzuri wakati timu inashambulia.Lakin vipi kama timu inashambuliwa?
Sijasema trent ni mbaya hapana bali kama una winger mzuri basi ukiwa na Bissaka na winger mzuri timu inakuwa bora kuliko kuwa na Trent anashambulia vizuri halafu una beki uchochoro.Lazima ufungwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeangalia pia perfomance za team zao msimu huu ..kila beki ana ubora wake msimu huu ,Bissaka n mzuri sana team inapokuwa inashambuliwa anajua kuzuia .Anorld n mzuri wakati team yake inaposhambulia yupo vzr kwenye kupiga kross na ku-aasist kuliko Bissaka ,lakini tambua Man U wapo sawa na Man City wote wamefungwa goli 23 na nafasi walizopo katika msimamo ni tofauti kuna team hapo ipo nafasi ya pili imefungwa gol kama 28 ,hivyo huwezi kusema ukuta wa Man U ni uchochoro .hivyo ubora wao unabaki katika viwango vya team zao ...Bissaka ndo kwanza amekuja katika team kubwa ,ambapo amekuta kiwango cha team yake kinapambama kuimarika...Liverpool imefungwa goli 14 tu EPL, Man Utd imefungwa goli 23.
Kwa mtazamo wako ni beki ipi chochoro?
View attachment 1308421
Mkuu ungeangalia pia perfomance za team hizo msimu...kila mtu ana ubora wake ,Bissaka n mzuri sana kwenye kuzuia,Anorld n mzuri katika kushambulia ,lakini ujue pia n team Man U yupo sawa na Man City wamefungwa goli sawa, na wakati huu AMBAO Man U haijaimarika ...hivyo ubora wao unabaki katika viwango vya team yao ...Bissaka ndo kwanza amekuja katika kubwa na kuikuta hali dhoofu ...Kwangu mimi Bissaka anakuwa mzuri wakati team inashambuliwa na Arnold anakuwa mzuri wakati team inashambuliwa na ubovu wao unakuwa vice versa ...japokuwa kitakwimu Bissaka n mzuri kwa msimu kuliko Arnold .
Unamzungumzia Gerrard huyu huyu aliyecheza Liverpool bila kubeba EPL kwa miaka zaidi ya 15?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Trent ni mzuri wakati timu inashambulia.Lakin vipi kama timu inashambuliwa?
Sijasema trent ni mbaya hapana bali kama una winger mzuri basi ukiwa na Bissaka na winger mzuri timu inakuwa bora kuliko kuwa na Trent anashambulia vizuri halafu una beki uchochoro.Lazima ufungwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamzubgumzia beki anayecheza mpira wa miaka ya 80Unafananisha kifo na usingizi mkuu acha mawazo mabovu
Bisaka hamna kitu mule , huwez kufananisha hata na Max Aaron wa NorwichMkuu ungeangalia pia perfomance za team zao msimu huu ..kila beki ana ubora wake msimu huu ,Bissaka n mzuri sana team inapokuwa inashambuliwa anajua kuzuia .Anorld n mzuri wakati team yake inaposhambulia yupo vzr kwenye kupiga kross na ku-aasist kuliko Bissaka ,lakini tambua Man U wapo sawa na Man City wote wamefungwa goli 23 na nafasi walizopo katika msimamo ni tofauti kuna team hapo ipo nafasi ya pili imefungwa gol kama 28 ,hivyo huwezi kusema ukuta wa Man U ni uchochoro .hivyo ubora wao unabaki katika viwango vya team zao ...Bissaka ndo kwanza amekuja katika team kubwa ,ambapo amekuta kiwango cha team yake kinapambama kuimarika...
Kitakwimu Bissaka amekuwa mzuri zaidi msimu huu ...Bissaka ataimarika zaidi na zaidi siku za usoni .