Wan Bissaka na Trent Alexander Anold

Wan Bissaka na Trent Alexander Anold

Trent Alexa hawezi kuzuia.Kiufupi ni beki uchochoro.Ila Yuko vizuri kushambulia.Msimu huu magoli aliyofungwa Liva mengi yametokea kwake.Kwa hiyo Trent ni dhaifu kuzuia ni imara kushambulia

Bisaka yeye ni mzuri kuzuia na anakaba haswa.Kwa beki za pembeni kwa england huwezi kumtupa Tren na Bissaka.
Kiubora mi nachagua Bissaka kwa sababu ananipa vitu vingi kuliko Arnod.mfano power,tackling,header n.k.Lakin kwa Arnod utafaidi tu attacking football.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa unaujua mpira wa modern football wewe.

Dunia nzima ya mpira wa kisasa inawatumia mabeki wa pembeni Kama wingers kwa krosi na assist na wingers wanatakiwa kuingia ndani. Game approach nyingi siku hizi ni kushambulia kwanza.

Kocha yeyote yule kwa Sasa duniani ukimuwekea Trent na Bisaka anachukua Trent mapema tu.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa unaujua mpira wa modern football wewe.

Dunia nzima ya mpira wa kisasa inawatumia mabeki wa pembeni Kama wingers kwa krosi na assist na wingers wanatakiwa kuingia ndani. Game approach nyingi siku hizi ni kushambulia kwanza.

Kocha yeyote yule kwa Sasa duniani ukimuwekea Trent na Bisaka anachukua Trent mapema tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Trent ni mzuri wakati timu inashambulia.Lakin vipi kama timu inashambuliwa?
Sijasema trent ni mbaya hapana bali kama una winger mzuri basi ukiwa na Bissaka na winger mzuri timu inakuwa bora kuliko kuwa na Trent anashambulia vizuri halafu una beki uchochoro.Lazima ufungwe tu.

Liverpool imefungwa goli 14 tu EPL, Man Utd imefungwa goli 23.

Kwa mtazamo wako ni beki ipi chochoro?

Screenshot_20191231-152844_FlashScore.jpg
 
Liverpool imefungwa goli 14 tu EPL, Man Utd imefungwa goli 23.

Kwa mtazamo wako ni beki ipi chochoro?

View attachment 1308421
Mkuu ungeangalia pia perfomance za team zao msimu huu ..kila beki ana ubora wake msimu huu ,Bissaka n mzuri sana team inapokuwa inashambuliwa anajua kuzuia .Anorld n mzuri wakati team yake inaposhambulia yupo vzr kwenye kupiga kross na ku-aasist kuliko Bissaka ,lakini tambua Man U wapo sawa na Man City wote wamefungwa goli 23 na nafasi walizopo katika msimamo ni tofauti kuna team hapo ipo nafasi ya pili imefungwa gol kama 28 ,hivyo huwezi kusema ukuta wa Man U ni uchochoro .hivyo ubora wao unabaki katika viwango vya team zao ...Bissaka ndo kwanza amekuja katika team kubwa ,ambapo amekuta kiwango cha team yake kinapambama kuimarika...
Kitakwimu Bissaka amekuwa mzuri zaidi msimu huu ...Bissaka ataimarika zaidi na zaidi siku za usoni .
 
Mkuu ungeangalia pia perfomance za team hizo msimu...kila mtu ana ubora wake ,Bissaka n mzuri sana kwenye kuzuia,Anorld n mzuri katika kushambulia ,lakini ujue pia n team Man U yupo sawa na Man City wamefungwa goli sawa, na wakati huu AMBAO Man U haijaimarika ...hivyo ubora wao unabaki katika viwango vya team yao ...Bissaka ndo kwanza amekuja katika kubwa na kuikuta hali dhoofu ...Kwangu mimi Bissaka anakuwa mzuri wakati team inashambuliwa na Arnold anakuwa mzuri wakati team inashambuliwa na ubovu wao unakuwa vice versa ...japokuwa kitakwimu Bissaka n mzuri kwa msimu kuliko Arnold .

Aisee, nadhani mimi ndiyo sijui nachokisoma.

Sawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]JF ina vituko sana yaani nimecheka Kama taahira jamani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unamzungumzia Gerrard huyu huyu aliyecheza Liverpool bila kubeba EPL kwa miaka zaidi ya 15?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiona hapa ni ushabiki tu. Anord sio kwamba hawezi kukaba. Anakaba, anashambulia, anaasist na anafunga. Liverpool ni timu inayotengeneza mashambulizi kutokea kwa mabeki wa pembeni na ndio maana mabek wa pembeni liva wana assist nying sana. Sasa timu yoyote inapokutana na liver hulenga kushambulia kutokea pembeni ili kuwazuia anord na robtson wasipande. Kwasababu wapo Targeted wao unaweza hisi wanazidiwa Kwan muda wote maadui wanatumia gap la pembeni kupita bt bado vijana hupanda na kurudi kasi ndo Mana liver hawajafungwa goli nyingi. Kama hujajua roho ya klopp ipo hapo kwa hawa mabeki wa pembeni.

Kitu kingine tunapaswa kuelewa mfumo wa mwalimu. Beki anapopanda, na mpira ukanyang'angwa ikapigwa counta viungo ndio wanatakiwa kukaba kuziba magepu ya mabek wa pembeni waliopanda. Na ndio mana Mara nyingi kwenye mechi kubwa klopp hupanga viungo solid. Kama milner, Henderson, wajnadam au fabihno. Sasa unaweza kumlaumu anord wakt sio kosa lake.

KWA MPIRA WA SIKU HIZI HUWEZI KUSEMA BEKI WA PEMBENI NI MZURI KAMA HAWEZI KUANZISHA MASHAMBULIZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo umesema ukiwa na beki uchochoro lazma ufungwe tu ndio Mana watu wakakupa takwimu za magoli ili uone nani uchochoro. Af mkuu mfumo wa siku hiz mawinger hawachez Kama zamani. Kuna bàadhi ya majukumu yao yamepelekwa kwa mabeki wa pembeni. Hivyo muda mwingi wanakua kwenye box na watu wa kumwaga maji ni mabeki wa pembeni. Ndio maana unaweza kuta winga anafunga mpaka magoli 20+ kwa msimu siku.Hivyo unavyosema ukiwa na winger mzuri umtumie bissaka ili asipande bila kujua kupanda na kumwaga maji ni jukumu lake.Mkuu achana na mpira tunaochezaga mtaani ukipewa 7 au 11 unacheza hukohuko soka imebadilika
Trent ni mzuri wakati timu inashambulia.Lakin vipi kama timu inashambuliwa?
Sijasema trent ni mbaya hapana bali kama una winger mzuri basi ukiwa na Bissaka na winger mzuri timu inakuwa bora kuliko kuwa na Trent anashambulia vizuri halafu una beki uchochoro.Lazima ufungwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungeangalia pia perfomance za team zao msimu huu ..kila beki ana ubora wake msimu huu ,Bissaka n mzuri sana team inapokuwa inashambuliwa anajua kuzuia .Anorld n mzuri wakati team yake inaposhambulia yupo vzr kwenye kupiga kross na ku-aasist kuliko Bissaka ,lakini tambua Man U wapo sawa na Man City wote wamefungwa goli 23 na nafasi walizopo katika msimamo ni tofauti kuna team hapo ipo nafasi ya pili imefungwa gol kama 28 ,hivyo huwezi kusema ukuta wa Man U ni uchochoro .hivyo ubora wao unabaki katika viwango vya team zao ...Bissaka ndo kwanza amekuja katika team kubwa ,ambapo amekuta kiwango cha team yake kinapambama kuimarika...
Kitakwimu Bissaka amekuwa mzuri zaidi msimu huu ...Bissaka ataimarika zaidi na zaidi siku za usoni .
Bisaka hamna kitu mule , huwez kufananisha hata na Max Aaron wa Norwich

Man u ina recreuit mbovu

Huwez kuuziwa bisaka kwa £50m magwaya kwa £80m
 
Back
Top Bottom