Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Maalim ana kadi namba 1. Uchaguzi ukiisha Membe anarudishwa CCM. Na huku Zanzibar ZEC, hawawezi, na hawatoweza kumuondoa Maalim Seif kwenye karatasi ya kupigia kura. Kama wamechoka kulala wajaribu. 😀
Tuliwaambia wqsimchukue Mwmbe kugombea ikawa matusi!
 
Nani mwenyejukumu la kumvua uanachama mwanachama?. Mbona unalukaluka tu mkuu.
Mkutano Mkuu wa chama
Kwa kuzingatia vipengele vya Katiba ya taasisi

5.3 Ndugu Msajili, maamuzi ya ushirikiano na vyama vingine vya siasa ikiwa ni pamoja na kuunganisha Chama kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo ni moja ya maamuzi muhimu ambao lazima ufanywe na Mkutano Mkuu wa Taifa na chombo hicho hakiwezi kukasimisha madaraka hayo kwa chombo kingine bila kufuata utaratibu uliwekwa na Katiba yetu.

5.4 Ndugu Msajili, kwa mujibu wa Ibara ya 18(i) ya Katiba ya ACT Wazalendo Kamati ya Uongozi ya kila ngazi au Kamati Kuu Taifa zinaweza kukasimu baadhi ya madaraka kwa Sekretarieti yake kwa azimio la wingi wa kura za wajumbe wa kikao. Mkutano Mkuu unaweza kukasimu kwa Halmashauri Kuu baadhi ya madaraka yake, lakini kwa azimio maalumu kwa ajili hiyo. Lazima kuwe na Azimio Maalum.
 
Haya kwa msajili ndio mkutano mkuu wa chama?.

Je kwa akili zako unaamini mkutano mkuu wa chama unaweza kuwavua uongozi Zitto na Maalimu?.

Nani Mwenye jukumu lakuitisha mkutano mkuu wa chama?.

Je unaijua nguvu ya kiongozi mkuu wa chama kutokana na hio katiba ya ACT?. a
 
HILI NDILO GOLI LA DAKIKA YA 89 LA MEMBE
TULITAHADHARISHA MAPEMA KUHUSU HUYU CHINGA
 
Maalimu na zito ni wabaka demokrasia! Afu kila siku wanahubiri demokrasia wanafiki kweli
 
Kwahiyo hayo yote na nguvu walizonazo Hao kina Seif na ZZK zinawapa uhalali WA kupindua pindua Katiba yao wenyewe Kisa wana nguvu Ya kiuongozi
Sasa Kama Hali ni hiyo kuna LA kumcheka Magu

Kama Katiba za vyama ndio unaona wanazigeuza watakavyo Vipi tukiwapa nchi hawa watu
Maana kwa nguvu zao sisi itakua balaa
Si ndio watakua wanafanya Yale Yale ya CCM au wabaya kuzidi hata CCM
 
Katiba inasemaje? Inaruhusu wana ACT wazalendo (ikiwemo viongozi) kuunga mkono Chama kingine?
Inaruhusu kama imeamuliwa na vikao halali vya chama.

Katibaa inasemaje juu ya utaratibu wakumvua uanachama mwanachama aliekeuka kanunni,taratibu na sheria zachama husika?.

Katiba inasema ukashtaki kwa msajili wa vyama?. Juu yakuwavua uanachama wanachama waliekeuka taratibu?.


Haya kwa msajili ndio mkutano mkuu wa chama?. Ambao unahusika nakuwavua wanachama uanachama?.

Je kwa akili zako unaamini mkutano mkuu wa chama unaweza kuwavua uongozi Zitto na Maalimu?.

Nani Mwenye jukumu lakuitisha mkutano mkuu wachama ili wavuliwe uanachama kama wamekiuka?.
 
Haya kwa msajili ndio mkutano mkuu wa chama?.

Je kwa akili zako unaamini mkutano mkuu wa chama unaweza kuwavua uongozi Zitto na Maalimu?.

Nani Mwenye jukumu lakuitisha mkutano mkuu ili wavuliwe uanachama ni msajili?. Kuna mantiki ipi yawao kwenda kwa msajili wa vyama kama baadhivya wanachama wao wamevunja kanuni za ndani ya chama?.

Kwa nini nawao wasifuate taratibu za chama zakuwavua uanachama kama wamevunja katiba?.
 
Hapo utakuea sawa na wale ccm wanaosema hakuna anayeweza kuongoza zaidi ya magufuli.
Kama katiba imevunjwa hakuna kuangalia sura wala nafasi ya mtu.
Kwa mfano wako huo una maanisha zitto akifa leo na chama kinakufa?
Kama ni hivyi hicho hakipaswi kuwa chama, mara kadhaa humu watu wengi kama sio wote wamekuwa wakisema inatakiwa itengenezwe taasisi na sio mtu au jeshi la mtu mmoja
Tufanye Sawa Zito na maalim wamefukuzwa eeh Hao jamaa watakuwa wabunge?

Au huyo Membe ataweza kuhudumia hiko chama?

Watu hapo wamemfata maalim na Zito, huyo Membe ameenda na wanachama wangapi?
 

Yes kabisa, Zito Akifa hakuna ACT hata nyerere angekufa wakati wa tanu ccm isingekuwepo Leo wala muungano usingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…