Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Membe ni pandikizi la ccm thus watu wakamstukia arudi akampigie kura boss wake
 
Na Kama ishu ni kumuunga mkono lisu ilitakiwa iwe NI msimamo wa Chama Cha act WAZALENDO wote sio watu wawili..
Na isitoshe katiba yao ya ACT WAZALENDO IMESHAWABANA.
watasema nini?

Ndio maana maalim amesema kwenye kikao cha kamati kuu ya chama kilishaamua na Membe alikuwepo na alikubali

Pili msajili wa vyama Hana uwezo wa kumvua mtu uanachama wa chama chochote

Chenye kuvua uanachama ni kamati kuu ya chama, Sasa hiyo kamati kuu ya chama ambayo itamvua uanachama maalim na Zito ni ipi?
Membe alikubali kumuunga mkono lisu?
Yes alikubali
Membe Hana ela, chama hakina ela, huyo Lisu mwenyewe 80% ya pesa ya kampen sio ya chadema, ni michango ya watu wa ccm ambao wanasupport siasa za upinzani
 
mr mdudu yu a toking tu mach .em rudi usome vizur hio barua acha bayas.
pointi aut wap famba maana naona kila kipengele kime kotiwa kabisa
mim kama mwanasheria hio kes naikimbia sion lup holi popote

Tufanye Sawa Zito na maalim wamefukuzwa eeh Hao jamaa watakuwa wabunge?

Au huyo Membe ataweza kuhudumia hiko chama?

Watu hapo wamemfata maalim na Zito, huyo Membe ameenda na wanachama wangapi?
 
Kuna watu wanataka katiba ibadilishwe wakati wao hata katiba hawaelewi wala kuiheshimu.
Sefu na Zitto wamezoea udikteta ndio maana walitoa maamuzi bila kuangalia katiba ya chama chao.
Lakini Seif na Zitto ni mabingwa wa migogoro popote walipo lazima kuwepo na migogoro na baada ya uchaguzi tutashuhudia migogoro mingi.
 
sasa Kama membe alikubali kumuunga mkono lisu.
Mbona bado anaendelea na kampeni zake za uchaguzi?
BRIEF ANSWERS TO THE BIG QUESTIONS
Ndio maana maalim amesema kwenye kikao cha kamati kuu ya chama kilishaamua na Membe alikuwepo na alikubali

Pili msajili wa vyama Hana uwezo wa kumvua mtu uanachama wa chama chochote

Chenye kuvua uanachama ni kamati kuu ya chama, Sasa hiyo kamati kuu ya chama ambayo itamvua uanachama maalim na Zito ni ipi?

Yes alikubali
Membe Hana ela, chama hakina ela, huyo Lisu mwenyewe 80% ya pesa ya kampen sio ya chadema, ni michango ya watu wa ccm ambao wanasupport siasa za upinzani
 
Na ishu sio kuwavua uanachama zito na maalim.
Swala ni KATIBA YA ACT WAZALENDO INASEMAJE KUHUSU MWANACHAMA WAO KUMUUNGA MKONO MGOMBEA MWINGINE WA CHAMA KINGINE?.
Hilo ndo swala la msingi tunalo takiwa tujadili.
Masuala ya vikao vya kamati kuu viliamua kumuunga mkono lisu.
BADO HAI MAKE SENSE.

ngoja tuone kati ya baba mwenye nyumba na mpangaji nani zaidi ...
 
Na ishu sio kuwavua uanachama zito na maalim.
Swala ni KATIBA YA ACT WAZALENDO INASEMAJE KUHUSU MWANACHAMA WAO KUMUUNGA MKONO MGOMBEA MWINGINE WA CHAMA KINGINE?.
Hilo ndo swala la msingi tunalo takiwa tujadili.
Masuala ya vikao vya kamati kuu viliamua kumuunga mkono lisu.
BADO HAI MAKE SENSE.

Katiba si yao? Si walitunga wao? Sasa shida ni nn? Ishu ya ndani tu na kumaliza?

Zito alisema kura yake ni kwa Lisu, na kama unakumbuka hata Membe aliwahi kusema swala la kuungana bado wanaliongea means sio jambo jipya kwao

Membe alitumwa kuvuruga tu Hana lolote but kosa la ccm kwenye hii mission ni kuwa hawakumpa ela membe
 
Ngoja tuone Kama huo mgogoro utaisha Kama unavyosema kirahisi rahisi hivyo.
Katiba si yao? Si walitunga wao? Sasa shida ni nn? Ishu ya ndani tu na kumaliza?

Zito alisema kura yake ni kwa Lisu, na kama unakumbuka hata Membe aliwahi kusema swala la kuungana bado wanaliongea means sio jambo jipya kwao

Membe alitumwa kuvuruga tu Hana lolote but kosa la ccm kwenye hii mission ni kuwa hawakumpa ela membe
 
Wanatumika? Wametumwa ili waharibu kule zenj?
Kwani hujasoma katiba ya ACT wazalendo? Zitto mjanja kamwingiza Maalim Seif chaka kwa sababu katiba katunga yeye halafu ni mamluki kamtuma Maalim avunje katiba ili ajivue uanachama aindolewe kagombea.
Kuweni makini na Zitto.
 
Yaani kipindi kama hiki kwa wale masikini wa kisiasa wasipokuwa na maisha bora basi wasubiri kufa kihoro.

Yaani chenga ni nyingi sanaa, sasa watu kama hawa wawili sijui wamekula shs ngapi do..!!
Chadema hamueleweki, mnahimiza wananchi wawe wanahoji viongozi Sasa wakihoji dhidi yenu mnasema wanapewa pesa kwani Lissu anavyohoji Mambo mbalimbali nae ni buku 7 pingapinga?
 
CCM kweli hali ni tete...hadi wamefikia hatua hii ha ha ha

Haya mwambieni msajili wenu awafute uanachama tuone!!
Msajili hawezi kuwafuta uanachama ila katiba yao itawafuta uanachama, ACT wazalendo walitunga hiyo katiba wenyewe.
 
Hizi ndo zile dk 89 alizosema Membe atafunga gori akitokea benchi?
ACT walifanya makosa makubwa sana kumkaribisha Membe ukisoma tu hiyo barua unaona kabisa kuna mkono wa CCM, msajili na Membe hao wanaolalamika wametumika tu
Acha kujitoa ufahamu, Membe hakutunga hiyo katii aliyetunga ni Zitto. Sasa Membe anahusikaje na maamuzi ya Zitto?
 
Tufanye Sawa Zito na maalim wamefukuzwa eeh Hao jamaa watakuwa wabunge?

Au huyo Membe ataweza kuhudumia hiko chama?

Watu hapo wamemfata maalim na Zito, huyo Membe ameenda na wanachama wangapi?
hayo sasa ni matokeo sisi tunaangalia PIFIRAC hapa kesi hio ngumu mim kama lawyer siwez kuichukua labda wawe na katiba mbili mbili
 
Back
Top Bottom