Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Ina maana wewe hujui kuwa kuna mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa kwa ajili yao? Hujui kuwa kwa sasa hakuna wapinzani bali ni waganga njaa na wachumia tumbo? Na muhujumi uchumi wa nchi we unataka apewe dhamana? Tunajua haya ndio yanayowakera mlishazoea upigaji sasa hivi mmedhibitiwa ndiyo maana hamwishi porojo. Nakushauri ndugu tar 28 jina la kwanza juu ndio namba yako ya bahati ya maisha usipoteze kura yako.
Utekaji, utesaji, mauaji, ufisadi wa ununuzi wa wapinzani kwa fedha za walipa kodi, ubambikiziaji kesi zisizo na dhamana kwa wananchi wasio na hatia, nk.
 
Kiongozi kutoka mwanzo tumepeana wa mjadala Darasa na watu kadhaa
Mkuu tindo, Rustem Pasha na hata mbona tumejadiliana bila dhihaka
Mkuu me ni kijana mpambanaji nasikitika unaniita binti
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…