Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nyie mabinti wa ccm kwanni mnaumizwa sana na huu umoja wa Chadema na Act wazalendo ?Maalim na Zitto wamevunja Katiba au lah?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mabinti wa ccm kwanni mnaumizwa sana na huu umoja wa Chadema na Act wazalendo ?Maalim na Zitto wamevunja Katiba au lah?
Kiongozi kutoka mwanzo tumepeana wa mjadala Darasa na watu kadhaaNyie mabinti wa ccm kwanni mnaumizwa sana na huu umoja wa Chadema na Act wazalendo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utekaji, utesaji, mauaji, ufisadi wa ununuzi wa wapinzani kwa fedha za walipa kodi, ubambikiziaji kesi zisizo na dhamana kwa wananchi wasio na hatia, nk.
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!Kiongozi kutoka mwanzo tumepeana wa mjadala Darasa na watu kadhaa
Mkuu tindo, Rustem Pasha na hata mbona tumejadiliana bila dhihaka
Mkuu me ni kijana mpambanaji nasikitika unaniita binti