Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
ACT ni chama ambacho bado ni kichanga sana na itahitaji muda mrefu zaidi ili kujiimarisha.
ACT hawana fedha kwa sasa na kina ukata mkubwa ambao unapelekea chama hicho kushindwa kuendesha shughuli zake.
ACT hawana itikadi inayoeleweka hivyo hawawezi kukiunga mkono CHADEMA wakati kila chama kina itikadi yake na ilani zake za uchaguzi.
Itachukua muda mrefu sana kwa upinzani kushika hatamu katika nchi hii mpaka pale watakapokuwa na itikadi moja, sera zilizo sawa na ilani zinazofanana.
Vinginevyo CCM itaendelea kushika madaraka nchi hii mpaka wananchi watakapoamua wenyewe.
Upinzani nao utaendelea kulialia na kuomba msaada kwa mabeberu ambao kwa kupinga maendeleo ya watanzania wanatumia visingizio mbalimbali kutaka kuwaweka vibaraka awao akina Tundu Lissu.