Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

ACT ni chama ambacho bado ni kichanga sana na itahitaji muda mrefu zaidi ili kujiimarisha.

ACT hawana fedha kwa sasa na kina ukata mkubwa ambao unapelekea chama hicho kushindwa kuendesha shughuli zake.

ACT hawana itikadi inayoeleweka hivyo hawawezi kukiunga mkono CHADEMA wakati kila chama kina itikadi yake na ilani zake za uchaguzi.

Itachukua muda mrefu sana kwa upinzani kushika hatamu katika nchi hii mpaka pale watakapokuwa na itikadi moja, sera zilizo sawa na ilani zinazofanana.

Vinginevyo CCM itaendelea kushika madaraka nchi hii mpaka wananchi watakapoamua wenyewe.

Upinzani nao utaendelea kulialia na kuomba msaada kwa mabeberu ambao kwa kupinga maendeleo ya watanzania wanatumia visingizio mbalimbali kutaka kuwaweka vibaraka awao akina Tundu Lissu.
 
Benard Morrison Membe alituahidi goli la dakika za lala salama bt wengi wetu hatukutegemea kama ataifunga team yake mpya.
 
Na ACT imeanzishwa na serikali ya ccm ili kuvuruga upinzani,ni maneno ya Lissu aliyasema muda tu ila nikashangaa Chadema inashirikiana vp na ACT?
Nafikiri sasa watu watakumbuka uchambuzi wa yule msafisha viatu.
 
This is has insignificant effect in the ongoing electoral process

Don't kid yourself - soma vizuri mtiririko wa allegations raised against Zitto and Hamad - mlegwa pale ni Hammad, Zitto wanachapia tu!! Suala hili litavaliwa njuga kweli kweli mpaka tutabaki tunashangaa - Mimi si mtume wala nabii lakini kadri siku zinavyokaribia uchaguzi dalili zinaonyesha kwamba NEC hisipo kuwa makini Taifa linaweza kujikuta limetumbukia kwenye turmoil bila ya kutegeme - kwani zoezi likitekelezeka kistaarabu sisi kama Taifa tutapungukiwa nini, wakati tuna huakika CCM ndio itashinda katika uchaguzi huu.
 
Wengine tulijua tu kitanuka ila wazee wa mihemuko ulikuwa huwaambii kitu.

Screenshot_20201023-175331_YouTube.jpg
 
This is has insignificant effect in the ongoing electoral process

Don't kid yourself - soma vizuri mtiririko wa allegations raised against Zitto and Hamad - mlegwa pale ni Hammad, Zitto wanachapia tu!! Suala hili litavaliwa njuga kweli kweli mpaka tutabaki tunashangaa - Mimi si mtume wala nabii lakini kadri siku zinavyo karibia uchaguzi dalili zinaonyesha kwamba NEC hisipo kuwa makini Taifa linaweza kujikuta limetumbukia kwenye turmoil bila ya kutegemea, sasa kuna haja gani ya kwenda huko wakati kila MTU mwenye akili tinamu anajua kwamba Chama tawala ndio kitashinda uchaguzi huu kwa Mara nyingine tena, kwani wasi wasi unatokana na nini tena?
 
Wameunga mkoni vyama vingine kimaandishi au kwa porojo tu. Mambo mengine yakishakuwa kisheria yanataka kufata kanuni na taratibu.
 
Hao uanachama wao ulianza lini?
Tuanze kwanza na hilo
Kwa vyovyote ilivyo, msajili wa vyama vya siasa sio mamlaka ya kumvua uanachama mwanachama wa chama chochote cha siasa ,kabla ya kujadili suala la Zitto na Maalim tuzingatie hilo.

Mamlaka ya kumvua uanachama yeyote ndani ya chama ipo ndani ya chama chenyewe kupitia vikao halali vya chama
 
Don't kid yourself - soma vizuri mtiririko wa allegations raised against Zitto and Hamad - mlegwa pale ni Hammad, Zitto wanachapia tu!! Suala hili litavaliwa njuga kweli kweli mpaka tutabaki tunashangaa - Mimi si mtume wala nabii lakini kadri siku zinavyo karibia uchaguzi dalili zinaonyesha kwamba NEC hisipo kuwa makini Taifa linaweza kujikuta limetumbukia kwenye turmoil bila ya kutegemea, sasa kuna haja gani ya kwenda huko wakati kila MTU mwenye akili tinamu anajua kwamba Chama tawala ndio kitashinda uchaguzi huu kwa Mara nyingine tena, kwani wasi wasi unatokana na nini tena?
Tatizo kesi wameipeleka sehemu isiyo husika, mamlaka ya kumvua uanachama mwanachama wa chama chochote ipo ndani ya vikao halali vya chama sio kwa msajili, msajili anahangaika na vyama si uanachama wa wanachama
 
Hawa wanachama wanajitambua. Sio kama hawa wengine mazwazwa yanayopelekeshwa na kibaraka wa mabeberu yanayoshindwa kuhoji hata mambo madogo tu ambayo kila kukicha viongozi wao wanayaropoka kinyume na katiba ya chama chao na kinyume na katiba ya ncho.

Wao wataweza kuendesha Hiko chama? Hiyo ni mission tu, coz Chama kitakufa then nn kitatokea?
 
Hawa wanachama wanajitambua. Sio kama hawa wengine mazwazwa yanayopelekeshwa na kibaraka wa mabeberu yanayoshindwa kuhoji hata mambo madogo tu ambayo kila kukicha viongozi wao wanayaropoka kinyume na katiba ya chama chao na kinyume na katiba ya ncho.
Ww ndio zwazwa unaeshindwa kujua ata mchakato wa chama chako ukoje ambao mumefungwa midomo marufuku kuhoji kitu chochote kinachotokea Kwenye chama chako jinga ww
 
Back
Top Bottom