Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Hawa wanachama wanajitambua. Sio kama hawa wengine mazwazwa yanayopelekeshwa na kibaraka wa mabeberu yanayoshindwa kuhoji hata mambo madogo tu ambayo kila kukicha viongozi wao wanayaropoka kinyume na katiba ya chama chao na kinyume na katiba ya ncho.
CCM hamtaweza. Mmechelewa sana. Haya yalitegemewa.
 
Nimekuuliza swali. Kama katiba yao inatambua maamuzi kufanywa na vikao halali vya Chama na suala la kumuunga mkono Lissu lilipitishwa na vikao halali vya Chama , Tatizo lipo wapi?????

CCM lazima mtajua kuwa hamjui mwaka huu. Hakuna mbinu yenu itakayofanikiwa mwaka huu. Come sun come rain. Mungu tu pamoja na watanzania mwaka huu. Na anaenda kuwaongoza kufanya mabadiliko ya kweli ya kuiondoa Ccm mwaka huu!
 
Laaana ya mzee jumbe kuwekwa kuzuizini kigamboni mbaka mwisho wa uhai wake
Ile laaana itamwandama Maalim seif mbaka atakimbilia kwao Qatar kwa marehemu baba yake
Mchezo wa siasa unamtoa kibiongo seif
 
Si ndio hapo sasa. Ccm walitegemea cdm wataingia mkenge kama wa Lowassa ndio wakamtoa Membe ili ajifanye mpinzani. Naona ACT kwa sababu wanazojua wao wakauvaa huo mkenge. Ndio saa hii nia ovu ya Membe inapoonekana.
Hahhaaa! Kaka haya mambo shida yake yamejikita kwenye Sheria ama katiba ya Chama husika, haihitaji kutumia Nguvu Bali yanahitaji uhalali wa kikatiba (ACT wazalendo), kwamba walalamikaji wako sahihi au lah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa wanachama wanajitambua. Sio kama hawa wengine mazwazwa yanayopelekeshwa na kibaraka wa mabeberu yanayoshindwa kuhoji hata mambo madogo tu ambayo kila kukicha viongozi wao wanayaropoka kinyume na katiba ya chama chao na kinyume na katiba ya ncho.
Ww mbona hujahoji jiwe kwa uvunjifu wa Katiba ya nchi?!
 
Hahahha! Makamanda wamepwaya kabisa kwenye huu Uzi, hii ndiyo maana halisi ya Sheria Ni msumeno[emoji1787][emoji1787]
Me wananuchanganya haswa hawa Jamaa Yani kila siku wanapiga vigeregere humu uvunjaji wa Katiba sijui hawaheshimu nini
Leo waimbisha kwaya wao wamefanya Yale Yale wamegeuka wanawaandama walioleta hoja badala ya hoja yenyewe
 
Mbona serekali inapewa misaada ya mabeberu acha unafki
 
Upumbavu nn?-Upumbavu ni CCM kuushupalia ili Kama linawausu wakat wakijua fika wao ndio wamelitengeneza ili kujfaliji Kama watadhohofisha harakati za ukombozi28 Oct.....lakini Upumbavu zaidi Nini?Ni CCM kujidai wanaijua Sana katba ya Act wazalendo kuliko Zitto kabwe Alie mkalbsha paka Yule kachero wao wanaojdai hawamjui wakat wako pamoja.........zaidi upumbavu niccm kushindwa kunadi madalaja yao nakununua watu kwavjisent vidogo kwanjaa walio watengenezea wenyewe
 
Tena wamenunuliwa sare mpya za act na kutafutiwa ukumbi waje na ngonjera zao, mwaka huu wamekwama

Ujinga huo walitaka kumtumia sumaye chadema lkn intelijensia ya chama ikamuwahi
 
Hahhaaa! Kaka haya mambo shida yake yamejikita kwenye Sheria ama katiba ya Chama husika, haihitaji kutumia Nguvu Bali yanahitaji uhalali wa kikatiba (ACT wazalendo), kwamba walalamikaji wako sahihi au lah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole Maalim Seif siyo riziki, papara zako siku zote zinakuponza.Leo ni pigo jingine, Mwinyi hana mpinzani kuanzia juzi ulipokiuka katiba ya chama.ccm mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…