Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Mnachokusudia ni kutunyang'anya chama kama mlivotunyang'anya CUF, mmeshazowea sio? Haya endeleeni muone!
Mwaka huu mtaruka mkitoja hamtapata pakutokea. Sana sana mtatuharakisha kufikia lengo letu la ukombozi tu.
 
Membe alikuja kwa kazi maalum ACT wazalendo
Mbona Lissu alishawahi kusema kuwa ACT sio chama cha upinzani bali kinatumika na serikali ya ccm,ila sijui alijisahau nini hadi akakubali kushirikiana nao.
 
Mnachokusudia ni kutunyang'anya chama kama mlivotunyang'anya CUF, mmeshazowea sio? Haya endeleeni muone!
Mwaka huu mtaruka mkitoja hamtapata pakutokea. Sana sana mtatuharakisha kufikia lengo letu la ukombozi tu.
Sasa mtanyangwa vp wakati kiasili ACT sio upinzani? Kwa mujibu wa Lissu upinzani ni Chadema na Cuf tu,sasa labda useme mmenyang'anywa Cuf ila sio kunyang'anywa ACT.
 
Membe sio mpinzani bali ni mzee muhuni toka ccm, kaenda ACT hana hata mwezi kapewa nafasi ya kugombea urais. Kama ni demokrasia yeye hakustahili kuipata nafasi.
Sasa ACT walimpitisha muhuni kugombea Urais? Akili zao zikoje Hadi wampitishe mhuni?
 
Lakini kwanini Zitto umefanya jambo la nmna hii? Hivi mnajua namna gani mnaharibu maisha ya watu huko nyumbani? Mlikuwa na sababu gani ya kuweka kifungu kikali cha namna hiyo na sababu gani ya kusapoti mlivyosapoti?
 
Sasa Hawa akina Maalim na Zitto hawakuliona hili?!?! Duh..
 
Sasa ACT walimpitisha muhuni kugombea Urais? Akili zao zikoje Hadi wampitishe mhuni?

Huyo Membe wanajuana na Zito maana Membe ni kinara wa kuanzishwa hiyo ACT enzi za JK. Maalim Seif ndio hajui kinachoendelea humo ACT, lakini Zito na Membe wanajua kila kitu kuhusu uwepo wa hicho chama.
 
Walikubaliana, hawa wamepewa barua na akina wakudadavua
Maelezo umesoma makubaliano yoyote ya kumuunga mkono mgombea wa chama Kingine unafanywa na mkutano mkuu ambao unafanyika miezi 60

Haya tokea Baada ya mkutano mkuu kumpitisha Membe hayo makubaliano wamefanyia wapi

Rudia hapo
5.3 Ndugu Msajili, maamuzi ya ushirikiano na vyama vingine vya siasa ikiwa ni pamoja na kuunganisha Chama kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo ni moja ya maamuzi muhimu ambao lazima ufanywe na Mkutano Mkuu wa Taifa na chombo hicho hakiwezi kukasimisha madaraka hayo kwa chombo kingine bila kufuata utaratibu uliwekwa na Katiba yetu.

5.4 Ndugu Msajili, kwa mujibu wa Ibara ya 18(i) ya Katiba ya ACT Wazalendo Kamati ya Uongozi ya kila ngazi au Kamati Kuu Taifa zinaweza kukasimu baadhi ya madaraka kwa Sekretarieti yake kwa azimio la wingi wa kura za wajumbe wa kikao. Mkutano Mkuu unaweza kukasimu kwa Halmashauri Kuu baadhi ya madaraka yake, lakini kwa azimio maalumu kwa ajili hiyo. Lazima kuwe na Azimio Maalum.
 
Nani kakuambia muda kushney mwaka 2015 kuna kesi ilifunguliwa ya kutaka ufafanuzi wa umbali kwa wapiga kura baada ya kupiga kura.Tarehe zilikuwa kama za kesi hivi.Subiri zitto na Seif waondolewe kisheria.Uamuzi ni jumanne
Kwa hiyo wakiondolewa itabidi karatasi nyingine za kura zichapishwe. Pamoja na potential ya kutokea vurugu dakika za mwisho, is it worth it? Tume wajiulizr Hilo swali
 
Huyo Membe wanajuana na Zito maana Membe ni kinara wa kuanzishwa hiyo ACT enzi za JK. Maalim Seif ndio hajui kinachoendelea humo ACT, lakini Zito na Membe wanajua kila kitu kuhusu uwepo wa hicho chama.
Kwahiyo Maalim hakujua yote hayo vitu vingine ni wazi tu
Wamemteua mgombea wenyewe
Wamempa ilani ya chama
Wamefungua nae kampeni
Yani mwenyekiti anashindwa kujua kwanini mgombea wake haendelei na kampeni anaenda kumvamia mgombea wa chama wanachoshindania nafasi ile ile
 
Uchaguzi utafanyika ila imelenga kumnyong'onyesha Maalim na wafuasi wake kwa maelfu...ni pigo kubwa Sana kwake...
 
Mie nadhani no Bora ku-attack maandishi kuliko Nani kafanya tujiulize je hyo katiba ni kweli inasema hivyo pili Kama kweli Nini kitatokea wataalamu wa sheria ndo waje watutafutie kichochoro je inawezakana au lah?

Mie nasubiri mtu apost katiba ya act na mwanasheria alete maelezo ndo nilike au dislike
 
Kipi kinamzuia Membe kufanya kampeni hadi sasa, kama sio anatumika na ccm kuchelewesha upinzani?
 
Kipi kinamzuia Membe kufanya kampeni hadi sasa, kama sio anatumika na ccm kuchelewesha upinzani?
Hili Swala walitakiwa waje waseme kina Maalim na zitto
Wao ndio viongozi wa chama wasemaji wakuu WA chama
Membe si Amefanya press juzi tu
Kingine
Hivi si mlikua mnasema Membe akifanya kampeni anagawa kura za upinzani
 
Membe atagawa kura za upinzani kwa mvuto gani alionao?
 
Huyo Membe wanajuana na Zito maana Membe ni kinara wa kuanzishwa hiyo ACT enzi za JK. Maalim Seif ndio hajui kinachoendelea humo ACT, lakini Zito na Membe wanajua kila kitu kuhusu uwepo wa hicho chama.
Sasa Membe anataka kumfukuza Tena Zitto kwenye chama?
 
Kipi kinamzuia Membe kufanya kampeni hadi sasa, kama sio anatumika na ccm kuchelewesha upinzani?
Mie huwa nafurahi maisha ya mtanzania yani huwa hakubali kushindwa kwa hoja lazima atafute uchochoro huwa Kuna msemo ukiwa upande wa Kenya kuwa usimruhusu mtanzania ajieleze atakuzidi sisi tumaongea Sana alafu kwenye Mambo ambayo kesho ayakupi hata unga robo upike ugali Ila wenzetu tunawaona wajanja au wanatubania sababu wanajua kulinda sh 100 kwa hoja ya ukweli au ya uongo Ila sie kulinda pesa kwa hoja hatuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…