Hahaha bahati mbaya huwa sipendi maeneo ya fujo, mziki juu kama hapo, zangu sundowner kisongo na kwingineko patulivuWelcome boy doesn't matter what you see
Oyooo machaliii veepee, manyookaaa veeepee, marasta veepeee, mafly culture veepee,
Mi nipo picnic hapa viwanja vya stress free zone, haya mavazi ya wahudumu mbona balaa, mizungu ya unga toka Mererani wamefunikaje hapa,wanagawa Bia wacha kabisa migodi imetema balaa, Vip huko milestone, Masai camp, via via , naona wazungu wamejimwaga mbaya Sana midolari inatembea Tu.
Mawazo ya vijana wa vijijini shida mpaka basi.Mmeshanyonya viroba na mbege mnahisi mko ulayaDar kwa jinsi walivyo malofa bado wanazungusha mikono ili kuona mabadiliko!!!
Ngojea nije hapo, kuna mtu kaniambia traffic wapo wengi road eti wanapima waliokunywa...Embu jongea hapa picnic mzee, maana naona wahudumu wapo Kama walivyozaliwa, nataka nile kona