MCHONGANISHI
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 372
- 364
Weka coin mdomoni hyo mita haitasoma kiwango cha uleviNgojea nije hapo, kuna mtu kaniambia traffic wapo wengi road eti wanapima waliokunywa...
Nipo muda mrefu hapa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka coin mdomoni hyo mita haitasoma kiwango cha uleviNgojea nije hapo, kuna mtu kaniambia traffic wapo wengi road eti wanapima waliokunywa...
Nipo muda mrefu hapa...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] maaninaaaaa uku wakiitikiaaa ....lowasaaaaaaaaaaaaaaDar kwa jinsi walivyo malofa bado wanazungusha mikono ili kuona mabadiliko!!!
Kila mtu anapuliza hilo dude la kupimia kilevi si ndio mnaambukizana maradhi tuu!!Ngojea nije hapo, kuna mtu kaniambia traffic wapo wengi road eti wanapima waliokunywa...
Nipo muda mrefu hapa...
Kumbe hiyo ndio technic...?!Weka coin mdomoni hyo mita haitasoma kiwango cha ulevi
Jamaa wanatafuta mapato kwa nguvu...Kila mtu anapuliza hilo dude la kupimia kilevi si ndio mnaambukizana maradhi tuu!!
Kwanini mkuu?Aliyegundua pombe, alaaniwe
Hii ni Arusha chaliiNyie vijana si mnasema pesa hakuna na maisha ni magumu sasa hiyo pesa ya kuruka viwanja imetoka wapi au ni unafiki tuu ndo umewajaa