Wana Arusha veepee, tumewafunika wa Dar mbaya mbovu

Ngojea nije hapo, kuna mtu kaniambia traffic wapo wengi road eti wanapima waliokunywa...

Nipo muda mrefu hapa...
Kila mtu anapuliza hilo dude la kupimia kilevi si ndio mnaambukizana maradhi tuu!!
 
Mwambiee muuhudumuu mariamuu aongezee kinywajii mezan kmaaa tulivyooo ...tumiaa pesaa ikuzoeeeeeeee
 
Dar hakuna mpango na wakazi wake wengi ni fake, yaani watu wanaishi kwa kuigiza maisha ya majuu huku kipato cha kubabaisha, na ndiyo maana wanaume wao wengi ni mashoga.
 
Dar hakuna mpango na wakazi wake wengi ni fake, yaani watu wanaishi kwa kuigiza maisha ya majuu huku kipato cha kubabaisha, na ndiyo maana wanaume wao wengi ni mashoga.
Mkuu umeua , lazima wasepe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…