Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Nipo hapa maeneo ya Moshono jijini Arusha nimekutana na kundi la vijana ambao wanaonesha bashasha usoni mwao. Kijana mmoja amejitambulisha kwa majina ya Protas Shao akizungumza kwa kujiamini amemtaka Godbles Lema ampe ushirikiano Mbunge mteule Mrisho Gambo kwani miaka kumi waliompa imetosha.
Naye Munguatosha Shoo amesisitiza kuwa hayo ni maamuzi ya wananchi hivyo Lema anapaswa kushirikiana na wananchi nje ya Bunge. Mzee Loning'o Elias amewataka wananchi wa Arusha kuwa watulivu huku wakimpa ushirikiano Mrisho Gambo.
Nimalize tu kwa kumtakia maisha yenye furaha na amani katika kustaafu ndugu Lema.