Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Unavyo waza ndivyo walivyowaza Wakoloni
Walijua wataitawala milele Tanzania kama koloni lao kwa kuwa watu weusi wengi walikuwa wajinga kama kina Mangungo hivyo Wakoloni walijitapa sana tu kuliko hata unavyojisifu wewe na kumsifu huyo pimbi mkoloni mweusi
Nikwambie tu kuwa Tanzania sio mali ya watawala waovu
Tanzania ni mali ya Mungu na tulipewa watanzania wote hii nchi, hao watawala waovu watapita na Tanzania itabaki ile ile
Kama walivyo toweshwa Wakoloni wa kizungu na kiarabu ndivyo watakavyotoweshwa wakolon weusi ccm

Kura feki
Mmeibiwa kura
Nyie miaka yote huwa hamkosi kuibiwa kwanini mshindwe kudhibiti wizi ? Kama mmeshindwa kudhibiti wizi ili msiibiwe na nyie muwe mnaiba
Unajua upinzani wa tanzania ni upinzani ambao hauna akili kabisa kuliko wapinzani wowote ule duniani
Kwa sababu mara zote huwa mnaingia kushiriki uchaguzi ambao hata nyie wenyewe huwa mnatambua kabisa kuwa hamuwezi kushinda bali mnashiriki ili badae mje msingizie kuwa mmeibiwa.
Wengi mmekuwa mkilalamika kuwa tatizo ni tume ya uchaguzi NEC siyo huru kwa sababu inateuliwa na rais aliye madarakani
Basi kama shida ni tume muwe basi mnagomea kushiriki uchaguzi kabisa ili mshinikize tume ibadilishwe iwe huru na siyo mnakubali kushiriki uchaguzi alafu mnarudi kulalamika oooh....tume ni ya ccm...
Miaka nenda rudi hayo ndiyo malalamiko yenu kuwa mnaibiwa kura, tume siyo huru sijui porojo gani zingine..
Kama tatizo ni kuibiwa tafteni mbnu za kumdhibiti mwizi maana sasa kama ni mwizi ashawazoea anawaibiaje chaguzi zote na nyie mpo mpo tu .
Kwa ukosefu huu wa viongozi makini wa upinzani basi hamuwezi kuitoa ccm madarakani hata kwa miaka 100 ijayo.