Uchaguzi 2020 Wana-Arusha wamtaka Godbless Lema kumpa ushirikiano Mrisho Gambo

Unavyo waza ndivyo walivyowaza Wakoloni
Walijua wataitawala milele Tanzania kama koloni lao kwa kuwa watu weusi wengi walikuwa wajinga kama kina Mangungo hivyo Wakoloni walijitapa sana tu kuliko hata unavyojisifu wewe na kumsifu huyo pimbi mkoloni mweusi
Nikwambie tu kuwa Tanzania sio mali ya watawala waovu
Tanzania ni mali ya Mungu na tulipewa watanzania wote hii nchi, hao watawala waovu watapita na Tanzania itabaki ile ile
Kama walivyo toweshwa Wakoloni wa kizungu na kiarabu ndivyo watakavyotoweshwa wakolon weusi ccm
 
Hata kama unakaa Monduli mwana Arusha hawezi kuwaza kama ulivyowaza wewe

Lema amekaa miaka kumi kama mbunge ameishia kuwekwa ndan tu, hata kuwasemea wana arusha hawezi miaka kumi yote! tafuta clip yoyote lema anaelezea matatizo ya wana arusha ama anapita kwa wananchi kuwatatulia matatizo yao, kifupi ni bora kasepa tu! na sina chuki nae, na ni ndugu yangu kabisa ila ndo ivo, wenzako walishafnya ubunge ndo ajira
 
Nyie si mumeshia kwa kishindo, Lema mnahangaika nae wa nini wakati mmekua mkidai kua alikua anawakwamisha kuleta maendeleo Arusha!
 
Gambo ana lipi jipya wkt hata u RC ulimshinda?
 
Tutatumia nguvu sana kuleta umoja wa kitaifa. Ni madhara ya kutaka kuongeza uharamu kwa kitu ambacho ungeweza kukipata hila haramu. Sasa chote ulichopata kinaonekana haramu.
 
Ampe ushirikiano ili acheleweshe maendeleo tena, wana ccm mbona kama hamjui mnataka nini?
 
Labda Moshono ya Chato. Nzi wenzio wa kijani ninaowaona hapa Arusha wanaona hadi aibu kukutana na watu na wakazungumzia kituko mlichofanya.
TUTAWAHUJUMU TU.
 
Gambo ana lipi jipya wkt hata u RC ulimshinda?

ccm wanamapungufu yao lakini atleast they make common sense decisions: ukiachana na killings zlizotokea na swala la rushwa, wako smart sana na wanawazunguka chadema miaka na miaka lakini chadema hola, yaani hiki chama ni wafu tu wapo uko! sasa nyie mlitakiwa mchukue nguvu ya wananchi tuwatetee sio mnakuja apa kusema fly over haina kazi, we ushawahi kuvuka sam mujoma kwenda buguruni wewe? ingekua ni hali ya kisiasa kama 2015 ambapo ccm ilichokwa wananchi wangekua upande wenu ila saaahv hata muite maandamano wapi, watu wanafurahia maendeleo nyie mnapinga, mna akili kweli nyie?

eti mnaambia watu kuna corona alafu mnaita watu kwenye kampeni zenu, eti ndege hazina kazi alafu kampeni unafanyia choper! nmefurahi sana mmepigwa kisu, sasa ni mbele kwa mbele maendeleo mpaka kieleweke! hapa nasubiri stiglers ikamilike umeme ushushwe bei kama alivosema mweshimiwa ,
 
Nawaunga mkono wananchi wa Arusha wote washirikiane na mb wa zamani na wa sasa kuleta maendeleo
 
Yeye anasema ni "mkombozi"
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…