Wana azania tuliomaliza kuanzia mwaka 2000 hadi 2012 tunaomba kukutana

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
1,578
Reaction score
1,894
Habari wana jf.

Kama heading inavyojieleza ni kuwa tumeona ni vyema kuanzisha umoja wa wana azania tuliomaliza kati ya miaka tajwa hapo juu lengo ikiwa ni kujuana zaidi, kukumbushana mambo na vituko vya shule kipindi hcho ila hasahasa kujenga mtandao wa kusaidiana katika masuala mbali mbali ya kijamii.

Mahali pa kukutana kwa awali tumefikiria pawe DDC iliyo mkabala na mlimani city,siku ya tarehe 25/05/2013.Kwa maelezo zaidi wasiliana na marando(0715689269) au octa(0714751041).

Asanteni na kama kuna wazo mbadala wewe mwana azania unakaribishwa kuchangia.
 
Aisee ni ki2 kizuri ila sijapenda huo ubaguz ambao kina octavian mmeuonyesha,je hamuitaji mawazo ya wana azania waliomaliza below 2000?

Mawazo ya kina Mdudu, chapa mamba, van damme,kaboka mchizi na kina wenzi hamuyaitaji?
 
wazo zuri tutalifanyia kazi mkuu ila kwa kuanzia tuanzae na range ya miaka hiyo tucheki respond.big up
 
Mkuu, hilo ni wazo zuri sana lakini kwa sisi ambao hatuko DSM ni wazi kuwa wengi wetu hatutaweza kuhudhuria.
 
Dah! Naaman sana kuhudhuria,kwa sisi tulioko nje ya Dar es salaam tutashirikishwaje? au mmeamua kuanza na watu wa Dar pekee?
 
Aisee ni ki2 kizuri ila sijapenda huo ubaguz ambao kina octavian mmeuonyesha,je hamuitaji mawazo ya wana azania waliomaliza below 2000? Mawazo ya kina Mdudu,chapa mamba,van damme,kaboka mchizi na kina wenzi hamuyaitaji?

Upo Andrew Kwayu?
Mchwampaka hapa naongea.
Twende kwa Mkemia basi tukapate vyuisi!!
 
Na sisi wake zenu je tunaruhusiwa?
Khee, kwani ukiolewa na wa Azania nawe unakuwa umesoma hapo? WE INAONYESHA HUMUAMINI MUMEI HIVYO UNATAKA UKABE HADI PENATI..... Hebu muache huko aende peke yake, kumbuka kukuowa hakuondoi ukweli kuwa ana marafiki aliosoma nao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…