Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
Habari wana jf.
Kama heading inavyojieleza ni kuwa tumeona ni vyema kuanzisha umoja wa wana azania tuliomaliza kati ya miaka tajwa hapo juu lengo ikiwa ni kujuana zaidi, kukumbushana mambo na vituko vya shule kipindi hcho ila hasahasa kujenga mtandao wa kusaidiana katika masuala mbali mbali ya kijamii.
Mahali pa kukutana kwa awali tumefikiria pawe DDC iliyo mkabala na mlimani city,siku ya tarehe 25/05/2013.Kwa maelezo zaidi wasiliana na marando(0715689269) au octa(0714751041).
Asanteni na kama kuna wazo mbadala wewe mwana azania unakaribishwa kuchangia.