Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,107
- 9,272
Mnipokee memba wa JF cc jukwaa la siasa,chitchat,Elimu,biashara,JLW,kwa ujumla wetu,nilikwenda kumchukua wife Korrogwe tuje TA mara moja alafu nirudi nikalinde Gas mtwara eeeeh
CC kibanga ampiga mkoloni
"Vox populi,VoX dei"
Tanga Bhana maduka mengi yamefungwa eti Usafi sasa mswaki itukuaje tunaotaka mahitaji
"Vox populi,Vox dei"
Hhahah! Kijana 10:31 MAduka yashafunguliwa,nenda dukani, huku kwetu maduka tunafungua saa NNE AMRI ya MKUU wa WILAYA. lakini inategemea umefikia mtaa gani kwa vyovyote umefikia huko kwenye NGOME ya MACCM, ila kama ungefikia mitaa ya kati kwenye NGOME ya CUF, huku MADUKA wazi tu, kwani huku huyo BIBIE(mkuu wa wilaya) ATII MAGUU na sheria zake za kikoloni zinaishia hukohuko.
acha kumzingua wamkaribisha ta wakati upo bandarini dar looKaribu sana mkuu. Mia
Ni eneo gani Tanga wauza Madira,kwa bei za Kawaida,nataka nimnunulie Mamsapu
CC amu,mamndenyi
"Vox populi,vox dei"
Ahsante nimeshapata mahitaji nashukuru,