Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
aaaah wewe Jiwe Linaloishi niHuh.... yaani kumbe we PL unanizuga tu! Najua ushazimika basi tu hutaki kufunguka.... teh!
aaaah wewe Jiwe Linaloishi ni
shem wangu atanisemea kwa loya
ila i love u teh teh!!uje na ile hela niliyokuomba eeee!!
duuuh baba nani umekuja mpaka huku
nilikua namtania tu huyo,amtake nani?aaakhaaaa!!
Nipe mzigo kwanza afu hela yako utapata.... teh!
Nipe mzigo kwanza afu hela yako utapata.... teh!
washaisoma mpaka hapo teh teh!!ahahha hata mi nilikuwa nashangaa baelezeeee
sikumbuki kama kuna mzigo ulinipa
nikushikie,hebu nikumbushe ili nikupe!!
Hahahaaaaa.... ule mzigo tuloahidiana ndo umeusahau? Si ulisema mzigo utakosti kilo moja, PL mbona unanikana mbele za wadau? We toa mzigo upate chako