Uchaguzi 2020 Wana-CCM 11 kumrithi Mbatia jimboni Vunjo

Uchaguzi 2020 Wana-CCM 11 kumrithi Mbatia jimboni Vunjo

Dkt. Charles Stephen Kimei ndiye ataliongoza jimbo hilo kwa chama chochote atakachoamua kugombea
In fact accountability ya Mbatia kama mbunge wa vunjo tangu achaguliwe ni ndogo kwani hata ahadi zake nying zmekuwa theoretical zaidi kwahyo uwezekano wa yye kurudi bungeni kama mbunge wa vunjo ni ndogo Lakin pia hao makada wa fisiemu uliowaeleza hapo siwapi nafasi kubwa ya kuwin the position kutokana na ukweli kuwa CHADEMA wamekuwa na popularity kubwa zaidi hivyo mh.Grace kiwelu anauwezekano mkubwa wa kupata hyo nafasi kwa sasa
 
Grace akaongoze kwa wakwe zake. Vunjo ina Dkt. Charles Stephen Kimei
Sasa ni zamu ya CHADEMA kuongoza jimbo la Vunjo.NCCR,TLP na CCM wameshamaliza zamu yao.Mbunge anayengojea kuapishwa ni Mh Grace Kiwelu kupitia CHADEMA.
 
Back
Top Bottom