Wana CCM Endeleeni na Dhambi zenu Hamprey poleple kaamua kuokoka

Wana CCM Endeleeni na Dhambi zenu Hamprey poleple kaamua kuokoka

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini.

Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya.

Kwa hiyo mwacheni nyie endleeni kuua na kuteka malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mwalimu Nyerere alisema madiliko yakikosena CCM watu watayatafuta nje ya CCM. Sasa CCM mabadiliko yananukia. Wananchi wameumizwa vya kutosha. Nguvu ya dola itatosha kumlinda Samia abaki madarakani?
 
CCM n wale wale ...

Usimwamini Sanaa pole pole Mzee wa UNAIJUA V8 WW..
 
Back
Top Bottom