The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Jul 13, 2025 #1 GT Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini. Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya. Kwa hiyo mwacheni nyie endleeni kuua na kuteka malipo ni hapa hapa duniani. Your browser is not able to play this audio.
GT Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini. Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya. Kwa hiyo mwacheni nyie endleeni kuua na kuteka malipo ni hapa hapa duniani. Your browser is not able to play this audio.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Jul 13, 2025 #2 Yesu Kristo alisema atakayevimilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jul 13, 2025 #3 Mwalimu Nyerere alisema madiliko yakikosena CCM watu watayatafuta nje ya CCM. Sasa CCM mabadiliko yananukia. Wananchi wameumizwa vya kutosha. Nguvu ya dola itatosha kumlinda Samia abaki madarakani?
Mwalimu Nyerere alisema madiliko yakikosena CCM watu watayatafuta nje ya CCM. Sasa CCM mabadiliko yananukia. Wananchi wameumizwa vya kutosha. Nguvu ya dola itatosha kumlinda Samia abaki madarakani?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Jul 13, 2025 #4 ππππ
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Jul 13, 2025 #5 ..Nilimsikia Afande Sirro akiwa Kigoma anadai amemrudia Mungu wake. ..huenda Polepole kaamua kuokoka.
..Nilimsikia Afande Sirro akiwa Kigoma anadai amemrudia Mungu wake. ..huenda Polepole kaamua kuokoka.
B-2 STEALTH BOMBER JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 4,640 Reaction score 6,422 Jul 13, 2025 #6 Kataa wahuni NO REFORMS NO ELECTION
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Jul 13, 2025 #7 CCM n wale wale ... Usimwamini Sanaa pole pole Mzee wa UNAIJUA V8 WW..
Griss JF-Expert Member Joined Jun 26, 2025 Posts 336 Reaction score 1,960 Jul 13, 2025 #8 Unaijua viete weweππ
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Jul 13, 2025 Thread starter #9 Griss said: Unaijua viete weweππ Click to expand... Vieite