Katika siku hizi mbili baada ya Mariamu Ditopile kushinda kura za maoni, kumbuka baadhi ya wapiga kura kupinga Ushindi wake ikiwemo shutuma za Rushwa ambazo hazikuchukuliwa hatua, na madai ya chawa wa Kiongozi wa juu. Hii inaonyesha kwamba wanaopitishwa, wanaenda pale Kwa ajili ya maslahi yao na si ya wananchi.
Pia kushangilia Kifo cha Kiongozi inaonyesha viongozi wengi hawapo Kwa maslahi ya wapiga kura Bali ya Viongozi wenyewe na watu wao wa karibu
Pia kushangilia Kifo cha Kiongozi inaonyesha viongozi wengi hawapo Kwa maslahi ya wapiga kura Bali ya Viongozi wenyewe na watu wao wa karibu