Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora atakayetatua changamoto zao.