Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu.
Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu.
Leo hii bungeni kumejaa misemo ya ubaguzi eti oooo Mbowe ametamka maneno ya kibaguzi.
Wacheni hizo ngonjera mbakie kwenye jambo la msingi kwa maendeleo ya taifa letu wote maana wote ni Watanzania.