Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Jun 20, 2023 #1 Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu. Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu. Leo hii bungeni kumejaa misemo ya ubaguzi eti oooo Mbowe ametamka maneno ya kibaguzi. Wacheni hizo ngonjera mbakie kwenye jambo la msingi kwa maendeleo ya taifa letu wote maana wote ni Watanzania. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu. Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu. Leo hii bungeni kumejaa misemo ya ubaguzi eti oooo Mbowe ametamka maneno ya kibaguzi. Wacheni hizo ngonjera mbakie kwenye jambo la msingi kwa maendeleo ya taifa letu wote maana wote ni Watanzania. Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.