Wana -CCM kwakuwa muda bado haujatuacha badilsheni mgombea wa nafasi ya U-Rais haraka kabla hali haijawa mbaya

Wana -CCM kwakuwa muda bado haujatuacha badilsheni mgombea wa nafasi ya U-Rais haraka kabla hali haijawa mbaya

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Wakuu sisi wana Ccm tubadilishe Mgombea .

Mama hauiziki

Lile tabaka la chini halimkubali

Tabaka ambalo hutoa muelekeo wa nchi miaka yote.

Hatujachelewa twende na mgombea anayeuzika. Ambaye Ana mikono misafi. (clean hands)
 
Back
Top Bottom