Uchaguzi 2020 Wana CCM Mkoani Songwe wameamua kudeki barabara kwa ajili ya ujio wa Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Wana CCM Mkoani Songwe wameamua kudeki barabara kwa ajili ya ujio wa Dkt. Magufuli

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
CCM kwa kuiga.

Baadhi ya wananchi mkoani Songwe wakideki barabara kwa ajili ya kumpokea mgombea urais wa @ccm_tanzania @MagufuliJP

#Uchaguzi2020

#OktobaTutawezana

516BC9CD-EEAE-4E05-ADAF-89C3C44F2237.jpeg

FFC1FA12-FDE4-4D06-B39E-FE1EB2105901.jpeg
 
CCM kwa kuiga.

Baadhi ya wananchi mkoani Songwe wakideki barabara kwa ajili ya kumpokea mgombea urais wa @ccm_tanzania @MagufuliJP

#Uchaguzi2020

#OktobaTutawezana

View attachment 1586637
Nguo walizovaa ni za CCM,kulala wanalala CCM,kula wanakula CCM. Wakikua wanakuwa wajumbe wa CCM ambaye itakuwa ndiyo ajira yao ya kudumu.
 
Wale waliomdekia LOWASA walipewaga sh. Ngapi?
 
Mimi nipo tunduma huku namsubiri nimevaa jora la kijani nikipewa 10000 yangu navua nalitupilia mbali
 
Wale waliomdekia LOWASA walipewaga sh. Ngapi?
Hiyo tulishaijadili 5 yrs ago, tujadili ya leo, ila inaonekana wagombea kutoka CCM wanapenda sana ubwanyenye.

158C38A8-FBBC-4407-972F-A56AEC8E37EE.jpeg
 
Izo mbwa nne ndo unataka kutuamisha kuwa ndo wanamkoa wa Songwe?
 
Izo mbwa nne ndo unataka kutuamisha kuwa ndo wanamkoa wa Songwe?
Leo hii wanachama ambao mnasema ndio watakaowashindisha kwa kishindo mnawaita "mbwa"!!!?
Kweli nyie LB 7 hamna shukurani.
 
Mimi nipo tunduma huku namsubiri nimevaa jora la kijani nikipewa 10000 yangu navua nalitupilia mbali
Watumishi wengi wa umma wanagawiwa mashati na madera ya kijani, ili wavae na kuonyesha ccm inakubalika. Lakini ukweli ni kwamba ccm haina kibali cha wananchi.
Ina kibali cha shetani. Kula pesa ya ccm; mahaba na kura kwa Lissu.
 
Sasa ni rasimi, kudeki barabara kumehamia ccm! Kama ambavyo tuliwarudisha ‘mafisadi’ wote mliotuuzia 2015, hii nayo imerudi! Tupo fit sana, nia ipo na sababu zipo, kuwaambia ccm, #sasabasi
 
Back
Top Bottom