Wana CCM Mnadhani ni ipi ilikua njia mbadala ya NO REFORMS NO ELECTION ?

Wana CCM Mnadhani ni ipi ilikua njia mbadala ya NO REFORMS NO ELECTION ?

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Daima huwa nnawalaumu Sana Wana Chadema kwakuwa wabwatukaji, na watu wa maneno ya fedheha na dhihaka Huku wakikosa kabisa kuwa watu wenye kutoa hoja na kusimama hoja zao.

Hiki ni kilema serious Sana kwa Hawa mambwana as per my very own personal observation and experience upon being around them.

Leo nimewaza nikaona anyway ivi vijana wa CCM je wanaweza kuwa ni watu wenye hoja labda ?? Wasio na tabia hii ya kulipukia vitu bila kujali .... Sasa Wana CCM heb tupeni elim mtufahamishe Mnadhani ni njia gani ilikuwa sahihi kwa Chadema kuchukua Kama si kugombea uchaguzi ??

Ikumbukwe kuwa Hawa jamaa daima huwa wanakimbia tu,..

1. Walikumbia 2014 Bunge la katiba, walikumbia pasi na kuirudisha posho walizokula.

2. Walikumbia kwenye mkutano wa vyama vya siasa wa pamoja mwaka Jana (Sina jina kamili la ule mkutano Ila Hawa jamaa walikumbia)

3. Walikumbia kwenye maridhiano ya Samia.

4. Leo wanakimbia kwenye uchaguzi.


Well. Ukweli kuwa Kuna makosa makubwa na ukandamizwaji wa wazi umeliwa ni wa wazi kulingana na taarifa wanazo toa. ... Ila hii inabaki kuwa agenda muhim Kama makada wa chama tawala kuwashauri wenzenu ili msijekosa validity ktk grounds za kisiasa as daima mnaonekana ni watu mnaopamnana na kimvuli chenu wenyewe na kujishangilia mmeshinda .

Je kwa yote wanafanyiwa Wana CHADEMA.. figisu na chokochoko ambazo Sio fair kulingana na maoni yao. ... Wangechukua hoja njia gani salama ????


(Little minded people ambao huwa hamna hoja Ila matusi na dhihaka jihadharini na kwapamoja tujifunze kwa great thinkers wanaweza kuwasilisha hoja bila kuwa na pessimistic oriented reactions.... )
 
Back
Top Bottom