Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Mjinga weweSerikali iliyopita ilitumia pesa vibaya nchi haina pesa lazma sisi wenyewe tufunge mkanda kujenga nchi yetu.
Mleta mada shauri tupate wapi pesa !? Vinginevyo funga domo nchi ijengwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga weweSerikali iliyopita ilitumia pesa vibaya nchi haina pesa lazma sisi wenyewe tufunge mkanda kujenga nchi yetu.
Mleta mada shauri tupate wapi pesa !? Vinginevyo funga domo nchi ijengwe.
Alafu kuna watu wanamkumbuka Magufuli bila kujua kwamba haya maumivu wanayopitia sasa hivi ni matokeo ya utawala wa MagufuliNchi hii itaendelea kulipa gharama ya utawala mbovu wa magufuli kwa miongo kadhaa
Haya yote blaims ni kwa Magufuli na Mama mwenyewe 100%Alafu kuna watu wanamkumbuka Magufuli bila kujua kwamba haya maumivu wanayopitia sasa hivi ni matokeo ya utawala wa Magufuli
Hakuna pa kupata pesa ni kukopa na kukopa mpaka tuweke rehani migodi ya madini. Hakuna Benk i akopesha bila kuweka dhamana.Serikali iliyopita ilitumia pesa vibaya nchi haina pesa lazma sisi wenyewe tufunge mkanda kujenga nchi yetu.
Mleta mada shauri tupate wapi pesa !? Vinginevyo funga domo nchi ijengwe.
Mda huo tutakuwa shaghala baghala [emoji3]. Hayo yatatake advantage kama China anavyomfanyia mrusi pindi anapokwekewa vikwazo na USA pamoja na Ulaya.Kuna mabebru yatawazunguka wenzao kwa hisani ya madini yatatukopa tu
tulieni dawa ituingie wote mku...d¥^iHabari za Muda huu wana Jfs.
Ni muda sasa wa takribani mwezi kumekuwa na introduction ya kile kinachoitwa tozo ambapo kwa mujibu wa Mh Rais Samia kupitia Waziri Wake Dr Mwigulu nchemba na wabunge wake wanadai ni kwa ajili ya solidarity funds ili kusaidia miradi mbali mbali ya kijamii kama elimu na afya.
Baada ya watanzania wengi kulalamikia njia hiyo iliyokinyume na sheria za kodi Dr Mwigulu Nchemba aliwataka wananchi kuungana kwa pamoja kufanikisha jambo hili. Na kwamba yeyote anayeona kero kuchangua maendeleo ya nchi yake ni bora aanze mapema ahamie Burundi.
Haikuishia hapo zikaja tozo za simu na miamala, wanaccm wengi kwenye mitandao ya kijamii whatsapp, twitter, instagram, facebook na telegram wamelalamika sana kupita maelezo kiasi cha kuanza kutukana mamlaka zilizoko madarakani huku wakilinganisha na mamlaka ya awamu ya tano. Kilio cha kufa na kupona kimeanza baada ya kuongeza tozo kupitia mfumo wa kununua umeme wa LUKU hapa ndio wakazidi kuchanganyikiwa.
Msingi wa kuchanganyikiwa kwao ni kwa sababu
1. Moja hawakutarajia serikali yao ambayo 90% ya viongozi wao walipita bila kupingwa kuwafanyia unyama huu.
2. Waliamini Mama ni sawa na Mwendazake hivyo ataendelea kuwadekeza
3. Waliaminishwa uchumi wa nchi uko vizuri sasa wanashangaa matozo ya nini.
4. Wanaamini mfumo ulioko madarakani sasa una lengo la kurudisha ufisadi wa wazi ( ikumbukwe ufisadi wa magufuli ulikuwa mkubwa na wa kificho sana).
Wito kwa wanaccm popote mlipo badala ya kutupigia kelele sisi ambao ni wazalendi kweli kweli na tuko tayari kuchangia maendeleo ya nchi ni vema mkapinga kwa vitendo ikiwemo kuingia mabarabarani kuonesha hisia zenu Ni haki yenu kikatiba kupinga pale haki zenu mnapohisi zinavunjwa.
Ukweli daima, unafiki kwangu mwiko. Tudumishe itikadi hii.
View attachment 1902251
hahaa stulieni dawa ituingie wote mku...d¥^i