Mimi na familia yangu ni wanachama hai wa CCM,tumekiri na kuamini ilani ya chama, lakini kwa haya niyaonayo Ndg kikwete si chaguo letu na kura zote Dr slaa atapewa. Chama kilifanya maamuzi mabovu kumsimamisha huyu mtu dhaifu. Makamba mpiga debe anakipeleka wapi chama chetu, na fisadi kinana ambeye meli yake imehusika kuiba nyara za serikali (pembe za ndovu) ndiye kinara wa kampeini ili afanye nini baadae?