Elections 2010 Wana CCM wakongwe kuahidi mabadiliko

Elections 2010 Wana CCM wakongwe kuahidi mabadiliko

ratzinger

Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
21
Reaction score
1
Mimi na familia yangu ni wanachama hai wa CCM,tumekiri na kuamini ilani ya chama, lakini kwa haya niyaonayo Ndg kikwete si chaguo letu na kura zote Dr slaa atapewa. Chama kilifanya maamuzi mabovu kumsimamisha huyu mtu dhaifu. Makamba mpiga debe anakipeleka wapi chama chetu, na fisadi kinana ambeye meli yake imehusika kuiba nyara za serikali (pembe za ndovu) ndiye kinara wa kampeini ili afanye nini baadae?
 
akuna badiliko lolote kutoka ccm. kazi kutishia watu kuwa amani , amani , itatoweka. alipokufa mwalimu tuliambiwa hivyo lakini wala amani ilibaki palepale. jamani hebu tumjaribu huyu slaa ni silaha ya watanzania atatetea amana za vizazi vyetu. Jamani nafasi ni hii tuitumie kuleta mabadiliko ya kweli. CCM sasa uongo umefika mwisho

The only time you run out of chances is when you stop taking them.
 
Back
Top Bottom